Klabu ya Barcelona itafanya uchaguzi wa rais wa klabu mwezi Machi tarehe 20 na 21 mwaka ujao.
Rais aliye madarakani kwa sasa Josep Maria Bartomeu, ambaye hatogombea tena baada ya kutumia awamu mbili kuwa kwenye madaraka, hapo nyuma alithibitisha kuwa watafanya uchaguzi kati ya Januari au mwishoni mwa Machi baada ya kukataa kufanyika uchaguzi mwaka huu.
Klabu hiyo ya LaLiga ilitangaza siku ya Ijumaa kwamba “uchaguzi utafanyika katika tovuti mbalimbali ndani ya Barcelona, na kura hizo zitaruhusiwa” kutokana na kuepuka hatari kusambaa kwa virusi vya Corona.
Wagombea wanao tarajiwa kuchuana katika nafasi hiyo kubwa ni Victor Font,Jordi Farre na Lluis Fernandez-Ala.

Bartomeu na bodi ya klabu ya Barcelona wamekuja katika makubaliano hayo kutokana na kuyumba kwa timu ambapo wamemaliza msimu 2019-20 bila kushinda taji lolote na kupata kipigo cha aibu cha 8-2 kutoka kwa Bayern Munich kwenye mashindano ya Champions League.
Haikuishia hapo kwani nahodha wa timu ya Barcelona na mchezaji wa Argentina Lionel Messi alijaribu kuikacha klabu hiyo lakini hakufanikiwa na walifikia makubaliano ya Messi kuendelea kuhudumu katika klabu kwa kipindi kisichopungua mwaka mmoja na mashabiki waliandamana nje ya uwanja kumpinga rais Bartomeu.
Akiwa katika mahojiano na Goal Spain, Messi alimshutumu Bartomeu kuwa kwa maneno yake alimruhusu Messi kuondoka kama mchezaji huru baada ya kumalizika kwa msimu.
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


sylvester
Barca inabidi wajipange upya ni vizuri kufanya uchaguzi
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kwa krabu ya Barcelona kwauchaguzi upya utakao fata
Dorophina
Wamefanya vizuri kuweka wazi tarehe ya uchaguzi naamini watafanya maamuzi yaliyo sahihi
Adelta
Barcelona itakuwa inaofanya vizuri ili kuimarisha klabu yake@meridianbettz
Mwajumah
Ni vizuri barca kufanya uchaguzi mpya kikubwa wajipange tu kwenye uchaguzi#Meridianbettz
felister
barca inabidi wajipange upya no vizuri kufanya uchaguzi
Sauda
Uchaguzi uwe wa Kheri na Amani
Sadick
Josep Bartomeu amefanya kazi nzuri kiasi na alichukua timu kutoka kwa rais wa zamani ikiwa na mzozo na kashfa ya usajiri Neymar, ni kazi ngumu kuongoza Real Madrid au Barcelona#meridianbettz
Fatina
Uchaguzi uwo uwe wakher na amani kwa barcelona!!
Caroline
All the best
Janeflora malisa
Saf
Ernest
Muda umefika kwa Bartomeu kuachia ngazi na kuwaona watu wengine wanaweza fanya nini kuleta mabadiliko zaidi ndani ya Barca
warda
Namwombea Maria aendelee kuwepo
Latifa juma mohamed
Uchaguzi uwo uwe wakher na amani kwa barcelona!!
Rose kapinga
Kila la kher,mchague kiongozi bora na si bora kiongozi!!!
mwakalosi
siasa bhn hapa mtu atayehakikisha messi haondoki ndiye atayepata kura nyingi
rama
daaa vizuri sana barcelona ibadilishe raisi bhana
Sabrina
Nawatakia kila la kheri kwenye uchaguzi
Issa
Barca inabid waisafishe timu na wairudishe barca ya zamani iwe na makali
Kama yale
Mwanahamisi
Kila la kheri kwenye uchaguzi
Theckla
Barcelona msimu uliopita haukuwa mzuri kwao ,binafsi nawatakia uchaguzi mwema
Mariam mtandama
Safi
Furahav
Jambo zuri.
Khadija
Uchaguzi uwe wa kheri kwao#meridianbettz
Nasra
Uchambuzi mzuri
Edgar
Vzr
Devotha
Kila la kheri kwenye uchaguzi wachague kilicho bora
lombo
iko poa
Shani
Barca ni vizur kuleta Mapinduzi ndan ya klabu
Gabriel
vizuri kuweka wazi tarehe ya uchaguzi naamini watafanya maamuzi yaliyo sahihi
Frank P
Barca imeteteleka sana aisee uchaguzi wao upite fasta tu
Theonestina
Habari njema
Saupha mohamed
Jambo zuri
Samira
Barcelona inabidi wajipanga upya na wanaitaji sana uchambuzi wa watu wake pale upya
Neema
Nawatakia kheri kwenye huo uchaguzi
Shafii
Nadhani raisi afuataye atakuja kumaliza migongano iliyokuwepo barca kwa sasa.
Tumaini kasalile
Wawe nauchaguzi mwema
Samiah
Uchanguzi mzuri
Amiri Kayera
Kila la kher
Magdalena
Barcelona Wana wakati mzuri wa kuchagua kiongozi atakae wafaa
farida ahmadi
Kila la kheri Barcelona