Dube Awataja Chama na Aziz Ki...Yanga Kitaumana.

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Prince Dube ameweka wazi kuwa kucheza timu moja na wachezaji wenye uwezo ikiwa ni Clatous Chama, Aziz Ki kunamuongezea hali ya kujiamini na kupambana zaidi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Dube ingizo jipya ndani ya Yanga kwenye eneo la ushambuliaji utambulisho wake ulifanyika usiku wa Julai 7 ikiwa ni zawadi ya 7/7 kwa Wananchi.

Katika mchezo wa Toyota Cup dhidi ya Kaizer Chiefs nchini Afrika Kusini ikiwa ni maandalizi ya msmu wa 2024/25 Dube alifunga bao moja la ufunguzi kwenye mchezo huo.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Baada ya dakika 90 ilikuwa Kaizer Chiefs 0-4 Yanga wakitwaa taji hilo na tayari wamesharejea Dar kwa maandalizi ya Wiki ya Mwananchi ambapo kilele chake inatarajiwa kuwa Agosti 4 na Yanga itacheza dhidi ya Red Arrows.

Dube amesema: “Kucheza timu moja na Chama, Aziz na wachezaji wengine hii kwangu ni furaha kwani hawa ni wachezaji wenye uwezo na wanaongeza nguvu ya kupambana kwa ajili ya kufanya vizuri.”

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe