Lampard anafuraha na Kepa Arrizabalaga

Kocha wa Chelsea – Frank Lampard amesisitiza kufurahishwa na kiwango cha kipa wake – Kepa Arrizabalaga. 

Kumekuwa na maneno mengi yanayoelekezwa kwa Kepa kufuatia kuonesha kiwango kibovu, wachambuzi wa soka katika vyombo mbalimbali vya habari wamekua wakihoji nafasi ya kipa huyo kwenye kikosi cha Chelsea.

Mwishoni mwa msimu uliopita, Kepa alijikuta akimuachia Caballero nafasi yake na yeye kusugua benchi. Ni dhahiri mashabiki na wachambuzi wa soka walitarajia Chelsea wangesajili kipa mwingine katika dirisha hili la usajili, mpaka sasa usajili huo haujafanyika.

Akizungumza baada ya mchezo wao wa kwanza wa EPL dhidi ya Brighton Albion, Lampard amesema, “Ninafurahi kuwa na Kepa, kuhusu mkwaju ule, sidhani kama angefanya chochote cha ziada kuzuia asifungwe, lakini nimeona ameongeza kiwango cha kujiamini. Kepa yupo hapa na ni kipa wetu.”

“Kama tutasajili mwingine itakuwa ni ushindani tu. Hiyo ni asili ya Chelsea, ni kwa timu nzima, tutaona itakavyokuwa.”

Akiulizwa kuhusu uwezekano wa kusajili mchezaji mwingine, Lampard amejibu, “Hapana, sio kwa sasa. Bado tuna muda mpaka kufikia mwisho mwa dirisha hili la usajili.

“Tunakikosi kipana, tunapaswa kuangalia ni namna gani tunakiongoza tukitazamia ushindani ndani ya kikosi, kwa sasa hakuna habari yeyote kuhusu hilo.”

Chelsea wameanza msimu mpya wa EPL kwa ushindi wa 3-1 dhidi ya Brighton Albion.


SHINDA NA MERIDIANBET!

Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.

Cheza Sasa.

43 Komentara

    Acha afurahi tu anajua shughuli yake

    Jibu

    Pongezi kweke akaze buti azidi mpa rahaa

    Jibu

    Lampard alishasema awezi kusajili mtu mwingine tena wanabana matumiz msimu huu

    Jibu

    Lampard lazima afurai mlinda goli yupo vizuri

    Jibu

    Me naona Chelsea himefanya vizuri sana kumpa nafasi yengine kepa ni kweli mashabiki wa Chelsea walitaka kuona usajiri mpya wa kipa

    Jibu

    Acha afurahi kepa yuko vizuri sana

    Jibu

    kepa sasa ni wakati wako wa kuonesha maajabau zaidi

    Jibu

    Kwa kweliii hapo lazima lampard afurahii

    Jibu

    Hongera kwake nikipa mzuri sana

    Jibu

    Pongezi kwake

    Jibu

    Kepa ni kocha mzuri sana anajua nn anakifanya ndiomaana lampard anamfurahia hakiwa nae

    Jibu

    Jambo zuri hilo

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Safi yupo vizuri

    Jibu

    Lampard anafurahi yote cz ya mlinda goli yupo fit Sana.

    Jibu

    Pambana mwamba

    Jibu

    Kepa nikipa aliesajiriw kwa pesa nyingi lakin parfomance yake imekua si nzur toka alipokuwa hapo chelsea

    Jibu

    Kipa anayejielewa

    Jibu

    Kuna jambo lipo nyuma ya pazia hapa juu ya Arrizabalaga

    Jibu

    Pambanaa

    Jibu

    Kepa ni kipa mzuri sana anajua nn anakifanya ndiomaana lampard anamfurahia hakiwa nae

    Jibu

    Lampard anampongezah kepa baaada ya kupata matoke lakin ukiangaliah mchezo wa jana kepa kafungwa goli la kizembe Sana lait Kama wasingepata matokeo lawama zote kwake kwa kuruhus goli la kizembe

    Jibu

    Kazi nzuri

    Jibu

    Mwacheni Lampad afurahi jamani kipa wake anajua

    Jibu

    Kipa mzuri ila hakuwa na msimu uliopita haukuwa mzuri kwake

    Jibu

    Kwer kiwango cha keppa kimepand san

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Pambana#meridianbettz

    Jibu

    Amesema kile alichokiona

    Jibu

    Acha afurah kipa yupo vizur sana

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Pongezi kwake akaze buti

    Jibu

    Kijana yuko vizuri katika ubora wake

    Jibu

    Kepa kaonesha kiwango kikubwa

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Hivyo ndivyo tunavyotaka mashabiki

    Jibu

    Lampard kocha mzuri Sana

    Jibu

    pongezi kwake akaze buti zaidi

    Jibu

    Kepa nikipa aliesajiriw kwa pesa nyingi lakin parfomance yake imekua si nzur toka alipokuwa hapo chelsea

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.