Baada ya vurugu zilizopelekea kadi 5 nyekundu ikiwemo ya Neymar, PSG wametoa tamko la kumuunga mkono mchezaji wao kwa kile kinachodaiwa ni kitendo cha kibaguzi dhidi yake.
Katika mchezo uliowakutanisha Paris Saint Germain dhidi ya Marseille, kulitokea vurugu zikiwa zimebaki dakika 2 mchezo huo kukamilika. Chanzo kikitajwa ni rafu dhidi ya mchezaji wa Marseille iliyochagizwa na maneno ya kibaguzi kwa wachezaji wa timu pinzani.
Sakata hilo lilishika hatamu na kufuatia refa wa mchezo huo kuangalia VAR na kufanya maamuzi ya kutoa kadi 5 nyekundu.
Taarifa iliyotolewa na PSG kupitia ukurasa wao maalumu inasema, “Hakuna nafasi ya ubaguzi kwenye jamii, soka au maisha yetu.
“Tunategemea kamati ya maadili kupitia LFP itafanya uchunguzi wa kina na kutoa majibu sahihi. Klabu ipotayari kushirikiana na LFP kama itahitajika.”
SHINDA NA MERIDIANBET!
Tengeneza pesa kidijitali kwa kubashiri mbio za farasi hapa Meridianbet! Chagua nani ashinde, unakusanya mkwanja.


Zeiyana
Nikweli sheria hifate mkondo wake ili kudhibiti yasije kutoka makubwa zaidi ya hayo
Shani
Ni atua njema kwa PSG dhidi ya Neymar!!
Dorophina
Hatua zichukuliwe iwe mfano kwa wachezaji wengine
Tatu
Kitendo cha ubaguzi wa rangi sio mzuri sheria ifuate mkondo wake
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri PSG wapo nyuma ya Neymar
Angelina
VAR ndo itaamua hapo
magdalena
sizai kama ubaguzi utasha apa duniani sababu hatuna umoja na mshikamano
Neema
Walichokifanya PSG kumuunga mkono Neymar wamefanya vyema sana
Flomena
Tunategemea kamati ya maadili kupitia LFP itafanya uchunguzi wa kina na kutoa majibu sahihi. Klabu ipotayari kushirikiana na LFP kama itahitajika #meridianbet
Salma ngende
Vizuri
Rama
Si kitu kizuri walicho kifanya psg
Janeflora malisa
Good
Fatuma kasomo
Safi
Latifa juma mohamed
Tunategemea kamati ya maadili kupitia LFP ifanye uchunguzi wa kina na kutoa majibu yaliyo sahihi , ni Jambo la aibu na kusikitisha Hali hii ktk sekta mpira inakuwa endelevu why apartheid is so huge?
Hopemwaikuka
Fanyen tu hvyo hz mambo ziishe kabsa
aisha
Swala la ubguzi wa rangi linasumbua sana kwenye soka
Hidaya
Kadi 5 ni nyingi kwa kweli
Ernest
Sidhani mchezaji mkubwa tena Professional kama Neymar anaweza kureact kama alivyoonyesha juzi kwenye mechi dhidi ya Marseille bila kutokuwa na jambo ambalo wengi wetu limezua sitofahamu kubwa lakini bado tunasisitiza Chama cha Soka cha Ufaransa kina kazi ya kutafuta ufumbuzi juu ya tukio hili.
Faraja molell
PSG wamefanya vyema
Gabriel
Neymar yuko sahihi kabisa
Povel
Hatua njema kumsaport mchezaj wao kwny jambo njema
Rose kapinga
Umoja ni nguvu
farida ahmadi
Safiiii Sana
Sabrina
Hata mm namuunga mkono
Issa
Swala hili la ubaguzi wa rangi limekuw kubwa sana ila mamlaka husika zinapaswa ziweke sheria kali juu ya hilo
Amiri Kayera
Mechi hii imewek record Kwa kadi
Rehema
Vizur
Saupha mohamed
Safiii
Tumaini kasalile
Safi
Khadija
Safi sana PSG#meridianbettz
Theckla
Hiyo ndo inatakiwa
Mwajumah
Psg wamefanya vyema
Fatina mfigi
Nice
Caroline
Ata Mimi namuunga mkono.Ubaguzi ni mbaya sana
Tahiya
Neryma alikuwa sahihi
Samiah
Alikuwa sahihi Neryma
Ester jackson
Kwa ubaguzi huu lazima uungwe mkono lakini inabidi ziwekwe sheria uwanjani dhidi ya ubaguzi kuepuka vurugu uwanjani
felister
kadi 5 ni nyingi sana
David Pere
Tunategemea kamati ya maadili kupitia LFP itafanya uchunguzi wa kina na kutoa majibu sahihi. Klabu ipotayari kushirikiana na LFP kama itahitajika #meridianbet