San Marino ikiwa ni nchi ndogo juu ya milima ikiwa kati kati ya nchi ya Italia kwa kusini na kaskazini, Jana imekumbana na balaa zito baada ya kuchabangwa magoli kumi kwa nunge na timu ya taifa ya Uingereza (Engalnd ).
England ikiwa na mafundi wake wote kwa maana ya Top Class player ilifanya majabu hayo San Marino akiwa nyumbani na wengi wakiwa ni wachezaji wa ligi ya pale pale uingereza.

Wafungaji wa goli 10 alizofungwa San Marino ni Harry Kane wa Tottenham Spurs magoli 4, Emille Smith Rowe wa Arsenal goli 1, Bukayo Saka wa Aresenal goli 1 , Tyrone Mings wa Aston Villa goli 1, Tommy Abraham wa Porto ya Italy nae alifunga goli moja huku goli moja wapo kati ya kumi likiwa ni la kujifunga.
Unasababu milioni za kucheza unavyotaka ukiwa na mabingwa meridianbet, lakini unasababu moja ya kushinda mamilioni katika kasino za mtandaoni za meridianbet. Mchezo maridhawa wa Crazy Time unakupa sababu hizo kuwa mmoja wa washindi leo hii.


