Sadio Mane: Mchezaji wa Mwaka wa Mashabiki

Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane ameshinda tuzo ya Mchezaji wa Mwaka wa Mashabiki wa Ligi ya Primia – PFA kwa msimu wa 2019-20.

Nyota huyo raia wa Senegal alifanya vyema kampeni katika kampeni yake ya msimu, akifunga mabao 18 na kutoa pasi za usaidizi wa magoli saba huku Liverpool akifanikiwa kutwaa taji baada ya kusubiri kwa miaka 30.

Sadio Mane ameshinda tuzo hii, amepigiwa kura kutoka kwa mashabiki kote Uingereza. Amewatangulia  nyota wa Manchester City Kevin De Bruyne na mwanatimu mwenza wa timu ya Liverpool Trent Alexander-Arnold, kwa kupata asilimia 41 ya kura.
Sadio Mane: Mchezaji wa Mwaka wa Mashabiki
Sadio Mane

Virgil van Dijk, Raheem Sterling na Jamie Vardy pia waliteuliwa kuwania tuzo hii muhimu kwa mchezaji binafsi.

Liverpool wanamaliza poa kwa kukusanya tuzo binafsi kibao, ukiacha mafanikio yao ya kuchukua taji la ligi mapema kabisa kabla ya mechi zao kuisha.

Jurgen Klopp alishinda tuzo ya Meneja wa Mwaka, Alexander-Arnold alinyakua tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu na Jordan Henderson alipigiwa Kura wa Wanahabari wa Chama cha Waandishi wa Soka kuwa mchezaji wa mwaka.


Drops and Wins!

Umeijua hii? Ni promosheni kabambe ya ushindi kwenye Casino ya mtandaoni ya Meridianbet! Unaweza kushinda hadi Euro 2,000,000 leo.

Soma Zaidi

 

38 Komentara

    hongera mane unastahili iyo tuzo

    Jibu

    Ni jambo zuri kwa Waafrika, Hongera sana Mane

    Jibu

    Sadio mane yuko vzur sana na pia mashabiki kiukwel amempa kihalali kabisa maana ni mchezaji ambaye anajituma sana uwanjan na pia yuko vzur katika nafasi yake ya ushambuliaji namkubal sana huyu jamaa

    Jibu

    namkubali sana mane anajituma sana

    Jibu

    Safi sana kwa saido mane ulikuwa msimu mzuri kwake

    Jibu

    Ongera mane unastahili iyo tunzo#Meridianbettz

    Jibu

    Safii Sana Mane unastairi kupewa tuzo kwajudi zako kwakujituma namsimu mzuri kwake

    Jibu

    Imekuwa kawaida kwa timu inaposhinda ubingwa kuchukua tuzo nyingi kutokana na kikosi imara#meridianbettz

    Jibu

    Pongezi nyingi Alistairi tuzo

    Jibu

    yuko vzur kiukwel

    Jibu

    Waafrica wengi tuko upande wake kiukweli anatuwakilisha vizuri pale an field.

    Jibu

    Honger sana mane

    Jibu

    Congrat Amestail 🏆🏆🏆

    Jibu

    Mane yuko vzur sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Sadio ni mchezaji mzuri

    Jibu

    Money Yuki vizuri hongera yake

    Jibu

    Yuko sahihi

    Jibu

    Mane yupo vizuri sana hongera kwake

    Jibu

    Hongera yake #meridianbett

    Jibu

    Maoni:pongezi sana kwake azidi kuongeza juhudi

    Jibu

    Mane kiungo bora sana

    Jibu

    Jurgen Klopp alishinda tuzo ya Meneja wa Mwaka, Alexander-Arnold alinyakua tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu na Jordan Henderson alipigiwa Kura wa Wanahabari wa Chama cha Waandishi wa Soka kuwa mchezaji wa mwaka

    Jibu

    Pongezi sana kijana mane

    Jibu

    Hongera sana mane kwa kupeperusha bendera za waafrika unasitahili tunzo

    Jibu

    Huna weza ukasema huu mwaka wa Liverpool tu daaah..!kuanzia kocha hadi mchezaji ni habari nzuri sana kwa mashabiki wa Liverpool. Ongera sana sadio mane tunategea mengi makubwa kutoka kwako

    Jibu

    Sadio Mane hongera

    Jibu

    Pongezi kwake sadio mane kupata tuzo anastahili ni mchezaji anayejituma sana

    Jibu

    Anastahili tuzo

    Jibu

    yuko vzr

    Jibu

    Hongera Sana mane

    Jibu

    Anastahili kabisa

    Jibu

    Yupo vizuri

    Jibu

    Hongera sana kwake

    Jibu

    Safi sanaa Mane

    Jibu

    Hongera Sana mane ulistahili tuzo

    Jibu

    Sadio mane yuko vzur sana na pia mashabiki kiukwel amempa kihalali kabisa maana ni mchezaji ambaye anajituma sana uwanjan na pia yuko vzur katika nafasi yake ya ushambuliaji namkubal sana huyu jamaa

    Jibu

    Hongera yao

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.