Kocha wa Uingereza Sarina Wiegman Hana Hofu Kombe la Dunia Wanawake

Sarina Wiegman

Kocha wa timu ya wanawake ya England Sarina Wiegman ana imani kikosi alichokiita cha Lionesses kitachuana kuwania ubingwa wa Kombe la Dunia msimu huu wa joto, licha ya kukosekana kwa baadhi ya majina muhimu. Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

 

“Nina imani kubwa na kikosi hiki na tuna bahati sana kuchagua kundi la wachezaji wazuri kusafiri hadi Australia,” alisema kocha wa England Sarina Wiegman

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Tunajua tutakabiliana na changamoto kali kutoka kwa timu zenye nguvu, na itabidi tuwe na ushindani kuanzia mechi ya kwanza tarehe 22 Julai. Tutafanya kila kitu kuwa katika ubora wetu tena msimu huu wa joto.

“Ni muhimu wachezaji kupata muda stahiki wa kupumzika na kupata nafuu wiki chache zijazo kabla ya kuanza maandalizi ya mwisho ya kuwaweka tayari.

Ukiwa na meridianbet unapata odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

“Tulijifunza mambo mengi chanya kuhusu jinsi ya kuwafanya wachezaji kuwa fiti, safi na tayari kutoka EURO msimu uliopita wa joto na tunajua tunachopaswa kufanya ili kuhakikisha kuwa tunapiga hatua kwa njia sahihi wakati mashindano yanaanza.”

Pata odds kubwa kutoka Meridianbet kwa mechi za ligi mbalimbali.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.