Timu ya Simba imechukua kombe la VPL kwa msimu wa 2020/2021 kwa kibabe sana baada ya kuishushia kipigo kikubwa cha 4-0 kwa Namungo.
Mechi hii ilishuhudia Simba ikishusha silaha zake zote huku Gomes akichezesha mastraika wake wote watatu, huku John Bocco akitokea benchi.

Katika mechi hii Chris Mugalu alitupia goli mbili na kufikisha goli 15, huku Kagere akifunga moja na kufikisha 13.
Nahodha wa Simba, John Bocco ndiye aliyeibuka mfungaji bora baada ya kushinda penati dakika za mwishoni kabisa ambayo imeamua mfungaji bora wa msimu huu kwa Bocco kufikisha magoli 16.
Huu ubingwa huu unakuwa ni wa kwanza kwa Didier Gomes lakini unakuwa ni wa nne mfulululizo.
Ndio, kama bado hujajiunga na Familia ya Mabingwa ya Meridianbet, huu ndio wakati wako! Tunakupatia Bonasi ya 3,500 Tsh papo hapo kama sehemu ya ukaribisho!



Chiku
Waweza Ibetia pia