Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse wamekuwekea mambo mengi unayoweza kufurahia kwenye kasino ya mtandaoni. Titan Dice ni mfano bora wa Roulleti halisi ambayo itakupa burudani na kukupa nafasi kubwa ya ushindi.
Gemu hii ni nyepesi sana na inaburudisha mno. Bila shaka unapenda kufahamu namna mchezo huu unavyofanya kazi na kukupa ushindi. Bila shaka, upo mahali sahihi!
Unachotakiwa kukifanya ni kuzungusha dice mbili na kubashiri jumla ya namba ambazo zitaangukia katika dice zote. Ukiwa Titan Dice unashinda mpaka mara 35 zaidi ya dau lako! Unaweza kubetia katika jumla ya dice hizo mbili. Hivyo, wewe unaweza kuweka mkeka wako kwenye jumla yoyote ya dice kutoka 2 mpaka 12.

Kwa mujibu wa takwimu, kuna nafasi kubwa sana ya kupata jumla ya dice zote kuwa ni saba, hivyo, kwa hakika kabisa, odds zake zinakuwa ni ndogo sana – 5.83. Odds kwenye jumla ya namba sita au nane ni jumla ya 7. Endapo ukiibetia jumla ya dice mbili kuwa ni tano au tisa unapata odds 8.75. Odds kwenye jumla ya namba nne au 10 ni 11.67, jumla ya namba tatu ama 11 inakupatia wewe odds ya 17.50.
Odds kubwa zaidi zitawekwa kwako kwa miunganiko ambayo ni, kwa mujibu wa takwimu, angalau 2 au 12. Lakini inahamaisha sana kuijaribu na inastahili kuijaribu, odds zake ni kubwa – 35! Pia, unaweza kubetia katika jumla yake kuwa ni zaidi ya au pungufu ya 7, odds zake kwenye mikeka yote ni sawa = 2.33. Titan Dice.
Mkwanja umetema ndani ya kasino za meridianbettz, Mchezo maridhawa wa Aurora Beast Hunter unakupa nafasi sawa ya ushindi leo hii, kila mzunguko una nafasi ya kuibuka mshindi, na mkwanja wako unaupata kila mzunguko utakapo kamilika.


