Mpiganaji wa ndondi mchanganyiko McGregor aliwekwa kizuizini na na polisi wa America baada ya kuripotiwa kuwa alipokonya na kuivunja kwa makusudi simu ya shabiki nje ya klabu ya usiku ya Florida.
Mpiganaji huyu alikuwa na shitaka la unyanganyi wa kutumia nguvu baada ya kuchukua simu ya shabiki na kuipasua. Polisi wa Miami walidai kuwa waliitwa eneo la tukio mida ya saa kumi na moja asubuhi nje ya klabu ya usiku ya LIV.
Baada ya kuanza uchunguzi McGregor alikamatwa na kuwekwa kizuizini Miami-Dade. Dhamana yake iliwekwa kwa $12 500
Ripoti zilitaja kuwa shabiki ambaye simu yake ilipokonywa na alijaribu kumpiga picha McGregor kwa simu yake ambayo ilikuwa na thamani ya $1000. Baada ya McGregor, kuichukua simu hiyo na kuruka juu yake, na kuivunja, aliondoka nayo bila kuirudisha.
Bondia huyu anafahamika kwa vitimbwi, camera zilizotegwa maeneo ya kumbi hiyo zilimnasa katika kisa kizima.
Shabiki alisimulia kuwa McGregor aliitandika ngumi simu yake. Kwa wasiwasi aliihisi ngumi ile kwenye mwili wake. Alipotaka kichukua simu yake iliyokuwa imedondoka Mcgregor, akaichukua yeye na kuibamiza tena chini kabla hajaikanyaga kama mara 4 kama anacheza singeli kisha akatokomea zake na simu.
Huyu jamaa, ni mwanandondi ambaye hupenda kufanya mazali ya rejareja, alishawahi kuvamia basi lililokuwa na wapinzani wake kadhaa na kuwatupia chuma, kosa lililomuacha na adhabu ya kifungo cha nje na adhabu ya kupata mafunzo ya kuzuia hasira.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Elika
Huyu jamaa ni noma sana
Sauda
Bondia ana vitimbwi hadi nje ya uwanja..
aisha
Mac ni mkorofi sana had nje ya uwanja
Fatina
Mmh
magdalena
uyu jamaa alikuwa mkorofi sana alikuwa anataka watu adi nje wamuogope
Hidaya
Jamaa mkorofi sana
Nasra
Duh noma
Saupha mohamed
Jamaa mkorofi sana
Angelina
Ubabe tu
Caroline
Mkorofi uyu jmn
Adelta
Huyu jamaa noma Sana
Dorophina
Ukorofi hausaidii mpaka kwa mashabiki zake jamaa amekuwa mkorofi mpaka nje ya uwanja wa ngumi
Sadick
Unapokuwa public figure unatakiwa kuwa makini na matendo yako. Mcgregor aliteleza na kwa bahati nzuri wenzetu sheria inafuata mkondo bila kujali nafasi yako#meridianbettz
Mwajumah
Duuh noma
Zeiyana
Aki na sheria zifuate mkondo wake huyo bondia hajua samani ya shabiki
Khadija
Jamaa noma sana
Hopemwaikuka
Hii jamaa Iko na balaa c LA kitoto
Issa
Gregory amepata umaarufu toka apambane na mayweather na kumemfanya apande chati fasta
Fatuma kasomo
Jamaa nomaa
Amiri Kayera
Anapenda ugomvi San Mac
Neema
Mbabee sana huyu
Sabrina
Duuh hatarii
Rehema
Aisee hatari
felister
jamaa mkorofi sana
Samira
Alichokifanya hakikua sahihi kabisa ila nilifurahi kuona sheria ilichukua mkondo wake
Gabriel
mkorofi sana
Mwanahamisi
Duuh hatari
Ester jackson
Dakika mbili tu ukorofi Wa hatari
Tatu
Anavyoonekana huyo bondia ni mkolofi
Lydia Emmanuel Magoti
Huyu jamahaa ni mtata Sana akubali kushindwa
Ernest
Hii ni jeuri ya pesa ya McGregor
Salma ngende
Duh!!
David Pere
Unapokuwa public figure unatakiwa kuwa makini na matendo yako. Mcgregor aliteleza na kwa bahati nzuri wenzetu sheria inafuata mkondo bila kujali nafasi yako
Povel
Nice update