Mipango ya Arsenal Kuelekea Kushushwa Pazia Usajili

Kuelekea kushushwa kwa pazia la dirisha la usajili, Arsenal wanatarajia kufanya mabadiliko katika safu yao ya ushambuliaji.

Kwa mujibu wa taarifa, Arteta anatarajia kuwapeleka makinda wake Emile Smith Rowe na Reiss Nelson vilabu vingine kwa mkopo huku wakihitaji kuongeza mchezaji angalau mmoja kwenye mafasi ya kati.

Arsenala wanatajwa kuwa wanavutiwa na Houssem Aouar, huenda akaingia kwenye kitabu cha Arteta, tayari kwa kuongeza radha kwenye safu yake ya katikati.

Thomas Partey pia anahusishwa na Arsenal kwa sasa, lakini hii inategemea namna Arteta anavyotaka kusawazisha kikosi chake na wale ambao wanaondoka.

Kuna mazungumzo yanaendelea juu ya Sead Kolasinac, ambaye anatarajia kwenda Bayer Leverkusen, huku Lucas Toreira akiwa anafanyiwa mchakato wa kwendaa Atletico Madrid.

Crystal Palace, Bunley na Brighton wanatajwa kuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuiwinda saini ya Nelson ambaye alikuwa hataki kuondoka klabuni hapo, lakini sasa analazimika kuondoka kuepukana na mda mchache wa kucheza.


 

Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!

Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!

Soma Zaidi

28 Komentara

    Me naon washambuliaji wazur wanao ni muhim kuiandaa team vzur viungo wawalishe

    Jibu

    Arsenal inashindwa kufanya usajil kwa washambuliaj wa kuleta ushindan hivyo kuwa timu isiyo na mafanikio

    Jibu

    Arteta anatakiwa kujiamini na kikosi chake

    Jibu

    Arteta asajil wachezaji wa kaz na wenye hali ya ushindan

    Jibu

    Safi

    Jibu

    muhimu kuiandaa timu vizuri tu

    Jibu

    Arteta tayari anatimu nzuri ajitahidi kuboresha zaidi ili waweze kutimiza malengo waliojiwekea msimu huu

    Jibu

    arteta wachezaji wazuri anao tu ila ajitahidi kuwapanga katika nafasi zao vizuri

    Jibu

    Arsenal anawachezaji wazuri tu sema anashindwa kupanga kikosi chake vizuri wakiwa uwanjani

    Jibu

    Wafanye tu mabadiliko labda kikosi chao kitakuwa imara kuliko hivi sasa

    Jibu

    Arsenal inawachezaji wazuri tu Ila waimarishe vikosi vyao na wafanye juhudi ili waweze kushinda

    Jibu

    Safi Sana

    Jibu

    Good update

    Jibu

    Muhimu kuiandaa timu vizuri tu

    Jibu

    Kam wanatak kushusha pazia sio mbay maan timu itakuwa imekamilik!!

    Jibu

    Naona Arsenal wananoa kikosi chao

    Jibu

    Waiandae timu ndio muhimu zaidi

    Jibu

    Arteta anataka kuibolesha arsenal kwa kuchukua vifaa vya nguvu

    Jibu

    Muhimu ni kuandaa timu vizuri ikae kwenye levo nzuri

    Jibu

    Arsenal inahitaji maboresho kidogo na kama watafeli kufanya hivyo basi hali itakuwa mbaya

    Jibu

    Waandae kikosi vizuri

    Jibu

    Arsenal sasa iv hawataki kushindwa safari hii

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Arsenal wajapange sana ili wapate matokeo maxuri

    Jibu

    Arsenal anawachezaji wazuri tu sema anashindwa kupanga kikosi chake vizuri wakiwa uwanjani

    Jibu

    Muhimu kujipanga.

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Arteta super coach

    Jibu

Acha ujumbe