Klabu ya Barcelona ni kama tayari wameshampoteza Messi, ambaye amekuwa alama ya mafanikio ya Barca kutokana na mchango wake tangia alipoingia klabuni hapo. Mara zote aliweka wazi mapenzi yake na klabu yake.
Hata hivyo, Messi alitibuliwa na Barcelona na kufikia hatua ya kutaka kuondoka kabisa klabuni hapo, zoezi ambalo lilikwamishwa na dau kubwa ambalo Barcelona waliliweka, katika jitihada za kumlazimisha nyota huyu asalie klabuni hapo.
Hatimaye klabu ilifanikiwa kumbakiza Messi. Sasa Barcelona wana mpango gani?
Inafahamika kuwa mpango wa Lionel Messi ni kuondoka kama mchezaji huru baada ya kumalizana na Barcelona, akiwa anabakiwa na mwaka mmoja tu katika mkataba wake.
Klabu ya Barcelona haitaki kumuacha Lionel Messi aondoke. Kwa mujibu wa Ronald Koeman, Klabu inahitaji kurejea katika ubora na kushinda kadri iwezekanavyo ili waweze kumfurahisha Messi, ili asalie Camp Nou.
Koeman anaamini matokeo pekee ndiyo yataweza kumshawishi Messi, ambaye amekuwa akisisitiza ushirikiano klabuni hapo. Licha ya kushindwa kushinikiza uhamisho wake, kila mtu anatazamia kuonda Messi ataamua kufanya maamuzi magumu ifikapo 2021.
Beti kwa Kitochi Kushinda 300,000,000!
Unajua kuwa unaweza kushinda milioni mia tatu kwa buku tu? Ndiyo! Unaweza kushinda kwa kupiga *149*10# na kubashiri. Ingia mchezoni!


Neema
Wako sahihii sana na wanachotaka kukifanya kuongeza juhudii ni jambo la msingi sana
Issa
Barcelona inatakiwa ijiamin kumuweka kama mess nj mungu mtu kunaifanya timu kuwa tegemezi kwa mtu mmoja
Sabrina
Inabidi barca wakaze ili waweze kuwa katika hali nzuri na kumfanya messi asijute kubaki Barcelona
Shani
Timu inatakiwa uchez kama timu sio ichez kumfurahisha mtu mmoja
Amiri Kayera
Mess alichukizw ilivokua ikifanya vibaya
Rehema
Bonge la makala
felister
mmmh ina maana Messi yeye ni nani mpk timu iweze kushinda ili kumfurahisha yeye…?
Samira
Messi anahaki ya kusema hivyo kwasababu mara nyingi timu ikifanya vibaya macho yote ya mashabiki wanamuangalia yy
magdalena
furaha ya messi kuona timu yake anayoichezea ikicheza vizuri na kukaa katika viwango vizuri
Elika
Dah safi sana
Dorophina
Barca sidhani kama watakubali kumuachia Messi kirahisi
Adelta
Inabidi waongeze juhudi ili waweze kumfurahisha messi
Angelina
Kweli kabisa wajitahidi
Mwanahamisi
Safi sana
Mwajumah
Safi sana
Fatina mfigi
Safi
Caroline
Barcelona wamemfanya Messi Mungu wao..duh ebu wajiamini bwana
Ester jackson
Safii sana messi na wachezaji wengine inabidi waige kutoka kwake sio kufurahia mishahara
Tatu
Mess ndio ataiweka sawa barcelona yeye ndio anajua wapi timu imetoka wapi timu inapoelekea
Lydia Emmanuel Magoti
Inabidi waongeze juhudi kufanya vizuri ili Messi aweze kutoa matumaini ya kusalia apo Barcelona Messi anataka krabu yake iyonyeshe ushindani mkubwa
Ernest
Bado Messi hawezi kuwa na furaha ndani ya Barca hilo haliwezi kubadilika
Salma ngende
Wajitahid sana
aisha
Wapambane sana
Khadija
Duh!!!pole sana
Nasra
Hii kiboko
Saupha mohamed
Wapambane sana
David Pere
Koeman anaamini matokeo pekee ndiyo yataweza kumshawishi Messi, ambaye amekuwa akisisitiza ushirikiano klabuni hapo. Licha ya kushindwa kushinikiza uhamisho wake, kila mtu anatazamia kuonda Messi ataamua kufanya maamuzi magumu ifikapo 2021.
Sauda
Waongeze bidii.
Hopemwaikuka
Kweli kabsaa
Povel
Wapambe wawez kupata matokeo kila mechi