Tiger Woods: Ukaribisho Adimu Sana
Football

Mcheza golf maarufu bwana Tiger Woods amesema anajisikia vyema sana kwa mapokezi aliyoyapata akiwa anarejea mchezoni, Woods anaamini ujio wake mpya umempa mashabiki wengine wapya wengi zaidi kuliko aliokuwa nao …

Soma zaidi
Balaa la Usain Bolt Kuhamia Kwenye Soka
Football

Mwanariadha machachari Usain Bolt kwa sasa  anafurahia kuanza kazi yake katika soka. Mwanariadha huyu ambae kwa mujibu wa Jarida la Forbes Juni 2017 ana utajiri unaokadiriwa kuwa na thamani ya dola …

Soma zaidi
Man Utd: Wakala wa Pogba Alivyomjibu Scholes
Football

Wakala wa mchezaji Paul Pogba bwana Mino Raniola amemtolea uvivu aliyekuwa mchezaji wa Man utd Paul Scholes juu ya madai dhidi ya mteja wake kufuatia Kiwango anacho onesha katika timu …

Soma zaidi
Barca: Hatuna Mazungumzo Kumuuza Rakitic
Football

Paris Saint-German wanamtamani mchezaji wa Barcelona bwana Ivan Rakitic lakini Barcelona kwa sasa hawataki kufanya mazungumzo juu ya kumuuza mchezaji huyo ambaye PSG wameonyesha kumuhitaji wakati thamani yake kwa sasa …

Soma zaidi
Man U: Zinedine Zidane Anambadili Mourinho?
Football

Kulikuwa na tetesi za chini chini kuwa huenda Zinedine Zidane akawa anaongoza katika orodha ambayo makamu mwenyekiti bwana Ed Woodward anaifikiria kumbadili Mourinho. ripoti hizi zinahusisha kufanya vibaya katika mechi …

Soma zaidi
Man City: Jeraha la Claudio Bravo ni Kikwazo
Football

Golia wa Man City Claudio Bravo amepata jeraha kwenye mguu akiwa mazoezini jumatatu ambalo limekuwa kikwazo kwa timu hiyo kutokana na umuhimu wake. Golia huyo mwenye umri wa miaka 35 …

Soma zaidi
Karius Katika Mazungumzo Kuhamia Besiktas
Football

Wakati Besiktas wakiwa wanamuhitaji golia Loris Karius, boss wa Liverpool yuko tayari kumuacha golia huyo aondoke katika timu hiyo. Wakali hawa Besiktas kutoka uturuki wako katika mazungumzo ya kumnasa golia …

Soma zaidi
Liverpool Ilivyomshitaki Salah; Dimbani Leo!
Football

Ilikuwa kama utani pale klabu ya Liverpool ilipoonesha kuwa tofauti sana na huku kwetu mara baada ya kumshitaki mshambuliaji wake, Mohamed Salah baada ya kuendesha gari wakati anachati kwa simu …

Soma zaidi
Rasmi Hotspur Kutumia Wembley Wakiwa Nyumbani
Football

Tottenham Hotspur wametangaza rasmi kuwa gemu yao ya mwanzo Katika ligi ya mabingwa ulaya itafanyika katika uwanja wa Wembley kufuatia mazungumzo baina yao na UEFA kukamilika. Mwazoni klabu hiyo ilidai …

Soma zaidi
Nafasi ya Wazi kwa Chelsea
Football

Klabu ya soka ya Chelsea wanamsaka mtu wa kuchukua nafasi ya Mkurugenzi wa Uchezaji, Michael Emenalo klabuni hapo kwa mujibu wa Telegraph. Nani wanawaniwa? Imesemekana kuwa wakurugenzi wa kiufundi wa …

Soma zaidi