klopp - matokeo ya utafutaji

Ikiwa hujaridhika na matokeo, tafuta tena

Mameneja Bora Duniani

Champions League

Soka ni mchezo ambao furaha yake ni kuacha alama kubwa ndani ya eneo ambalo wanakuwa wanapewa kazi kwa kuaminiwa katika nafasi zao. Jambo la pekee kwa kocha ni kuweza kutengeneza …

Tetesi Mbalimbali za Soka

Champions League

Klabu ya Real Madrid imejiondoa katika kinyang’anyiro cha kumfukuzia nyota wa Manchester United, Paul Pogba na kuna kila dalili kwamba nyota huyo ataendelea kuhudumu kikosini hapo kwa miaka mingine zaidi. …

Tetesi Mbalimbali za Soka

Champions League

Bosi wa klabu ya Borussia Dortmund, Michael Zorc bado anaendelea kukanusha ripoti mbalimbali ambazo zimekuwa zikidai kwamba huenda nyota wa Leipzig, Haaland akawa yupo mbioni kutaka kujiunga na klabu yake …

Pep Asalimu Amri!

Daily News

Kati ya vitu ambavyo soka huvutia ni wakati ule ambao vilabu vinavyofukuzia ubingwa vinakutana na mmoja kuonekana anapotea kabisa kwenye mchezo huo. Pale mafahari wawili wanapokutana kwa kawaida ushindani wa …

Fununu Mbalimbali za Soka

Capital One Cup

Thamani ya kiungo wa Chelsea sokoni bado ipo juu na klabu nyingi kubwa bado zinachuana kuwinda huduma ya nyota huyo katika vikosi vyao. Kante amekuwa muhimili wa klabu hiyo kwa …

Liverpool: Mashaka ya Allison Kucheza

Football

Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp ametoa ripoti kuwa Allison amerejea kwenye mazoezini leo Alhamisi wakiwa wanajiandaa na gemu ya Ijumaa Oktoba 5. Allsion alipatwa na jeraha kwenye mechi dhidi ya …

Makundi EFL

Capital One Cup

Baada ya mechi kadhaa za mtoano za kombe la EFL kupigwa na washindi kupatikana ndani ha hatua itakayowezesha kila klabu kupata pacha yake ya kushindanishwa ili kuendelea kuchuja hadi kupata …

Fununu za Soka Barani Ulaya

Champions League

Klabu ya Manchester United inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza ipo katika harakati za kumfanya mlinda mlango wa klabu hiyo, David de Gea kuwa sehemu ya wachezaji wanaolipwa kiwango cha juu …

Fununu za Usajili Ulaya

Champions League

Marco Reus anayekipiga katika klabu ya Borussia Dortmund anaonekana kuwa na utayari katika ushawishi ili kumfanya mchezaji mwenzake ambaye pia ni rafiki wake wa muda mrefu ambaye kwa sasa anahudumu …

Moto wa Liverpool Balaa!

Daily News

Ligi kuu nchini Uingereza iliendelea mwishoni mwa wiki hii ambapo ilishuhudiwa mechi kubwa sana katika ligi hiyo kati ya Liverpool waliokuwa wenyeji wa Arsenal ndani ya mechi hiyo. Mechi kati …

Majogoo na Washika Mitutu Uwanjani!

Daily News

Wawili hao wana historia ya kufanya kazi pamoja katika klabu ya Borussia ambako walifanya kazi kwa mafanikio sana wakiwa pamoja. Hadi leo waliacha heshima kubwa sana ndani ya kikosi hicho …

EPL: Kuelekea Liverpool vs Norwich City

Football

Msimu huu wapa! Wazee wa mikeka wameshaandaa kalamu na karatasi kwa ajili ya kuandika hesabu za pesa zao, tunaanzia hapa; Liverpool V Norwich City. Liverpool wanatarajia kufanya vyema zaidi ya …

Wanaofanya Vizuri Ulinzi

Champions League

Kwa kadri siku zinavyosonga mbele majukumu ya ulinzi nayo yamekuwa yakibadili mwekekeo wake kutoka katika hali iliyokuwepo hapo awali ya kwamba kazi ya mabeki ni kulinda na kuzuia mipira isiweze …

1 2 3 31 32 33 34 35