Roma Kuwauza Wachezaji 6 Januari!

Kwa mujibu wa taarifa toka Italia, Roma wana mpango wa kuwauza wachezaji sita katika dirisha la uhamisho la mwezi Januari.

Roma ambao wapo katika nafasi ya tatu kwenye ligi, wakiwa tayari wamecheza mechi zao 14 wanawalenga pia Carles Perez na Federico Fazio katika mpango wao wa uhamisho.

Roma Kuwauza Wachezaji 6 Januari!
Klabu ipo tayari kumuacha Carles Perez aondoke kwa mkopo.

Wakati meneja mpya Tiago Pinto akijaribu kukamilisha suala la uhamisho wa wachezaji wapya wanaowalenga, kuna idadi kadhaa ya wachezaji pia wanaotakiwa kuondoka klabuni hapo kwa mkopo au kwa uhamisho wa kudumu.

Il Corriere dello Sport wanaripoti kuwa wachezaji sita wanatarajiwa kuuzwa katika dirisha linalofunguliwa Januari.

Nyota wa zamani wa Barcelona, Carles Perez ambaye ana goli moja mpaka sasa katika mechi zake 14 alizocheza kwa mashindano yote naye yupo kwenye mpango huu. Roma wapo tayari kumuacha aondoke kwa mkopo ili aendelee kupata mda mwingi wa kucheza.


 

VUNA SHEA YAKO YA 230,000,000TSH NA UFURAHIE MSIMU HUU WA SIKUKUU!!!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, jiwekee nafasi ya kupata shea yako ya 230,000,000Tsh kupitia mchezo wa Secret Santa. Hakika hutojutia kufurahia msimu huu wa sikukuu ukiwa katika nyumba ya mabingwa ya Meridiabet. Unasubiri nini?

SOMA ZAIDI

17 Komentara

    jamani roma nao wanazingua wanauzaje sasa hao wachezaji 6

    Jibu

    Roma wanaangalia maslahi kwanza

    Jibu

    Asante kwa taarifa meridian bett

    Jibu

    Mnazingua roma wachezaji wote 6 mbona wengi

    Jibu

    Kikubwa maslai tu

    Jibu

    Wachezaji wote hao duu

    Jibu

    Roma waakikishe wanapata mtonyo wa kutosha ili waweze jusajiri vizur

    Jibu

    Sio mbaya kujaribu kujijenga upya Roma ni timu kubwa sana

    Jibu

    Mbona wengi hivi

    Jibu

    Mbona wanawauza wachezaji wengi sana roma vipi

    Jibu

    Nice update

    Jibu

    Wataingiza Mshiko mrefu

    Jibu

    Aina mbaya

    Jibu

    Duuu lakini sio vibaya

    Jibu

    Roma wamepania kurudisha enzi zao

    Jibu

    Ngoja tuone wamejipanga vp!

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.