Kesho macho na masikio ya wapenzi wa soka nchini Tanzania yatakuwa jijini Arusha kwenye dimba la Seikh Amri Abeid kuutazama mtanange wa fainali kati Coastal Union ya jijini Tanga dhidi ya Yanga SC toka Dar es salaam.
Coastal Union na Yanga msimu huu wamekutana mara mbili ambapo michezo yoye hiyo ni ya ligi kuu ya Tanzania NBC Premier League, huku michezo yote hiyo klabu ya Coastal wakiwa wamepoteza, mchezo wa kwanza wakipoteza kwa 2-0 huku wa pili wakipoteza 3-0.
Kesho ndio siku ya Coastal Union kulipa kisasi kwenye fainali ya Azam Confederation Cup, je ataweza? au ndio ataaendeleza uteja na Yanga kuendeleza wimbi la ushindi msimu huu.
Ndani ya dimba la Sheikh Amri Abeid nyasi kuwaka moto, huku mbivu na mbichi kujulikana hapo kesho.
ALIYA’S WISHES
Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.