DROO YA AZAM SPORTS FEDERATION YATOLEWA

Mabingwa Watetezi Yanga SC watafungua msimu mpya wa michuano ya Azam Sports Federation kwa kucheza dhidi ya Hauling FC kutoka Njombe, Simba yeye atakipiga dhidi ya Tembo FC kutoka Tabora.

Azam FC wao watawakaribisha Alliance FC kutoka Mwanza.azam▪️Young Africans vs Haulung Fc
▪️Azam Fc vs Alliance Fc
▪️Simba Sc vs Tembo Fc
▪️Singida Fountain Gate vs Arusha City
▪️Kmc Fc vs Aca Eagle
▪️Dodoma Jiji vs Magereza Fc
▪️Jkt Tz vs Kurugenzi Fc
▪️Kagera sugar vs DAR City
▪️Geita Gold vs Singida Cluster
▪️Namungo Fc vs Hollywood Fc
▪️Tabora United vs Monduli Fc
▪️Coastal Union vs Greenland Fc
▪️Ihefu Sc vs Rospa Fc
▪️Prison Tz vs TRA Kilimanjaro
▪️Mtibwa sugar vs Nyakangwe Fc
▪️Mashujaa Fc vs Mbuga Fc
▪️FGA talents vs Buhaya Fc
▪️Mbuni Fc vs Bus Stand
▪️Ken Gold vs Gunners Fc
▪️Biashara Utd vs THB
▪️Pan Africans vs Nyamongo Fc
▪️Pamba Jiji vs Eagles Sc
▪️Transit Camp vs Airports
▪️Green Warriors vs Kilimo Fc
▪️Polisi Tz vs Nyumbu Fc
▪️Mbeya Kwanza vs Bunda Fc
▪️Mbeya City vs Africans lyon
▪️Copco Veterans vs Mabao Fc
▪️Ruvu shooting vs Mkwajuni Fc
▪️Cosmopolitan vs Rhino Ranger
▪️Stand United vs Tanesco
▪️TMA vs Sharp Lion

RASMI: Mechi hizi zitaanza kuchezwa kuanzia Desemba 15 hadi 17, 2023.

Acha ujumbe