FOUNTAIN GATE KUANZA PRE-SEASON KESHO

UONGOZI wa Fountain Gate FC umesema kuwa kesho Jumatano tarehe 10 utaanza rasmi maandalizi ya Msimu Ujao kwenye mji wa Babati mkoani Manyara.

Ofisa Habari wa Klabu hiyo Issa Liponda amesema wamechagua kwenda Babati kutokana na mazingira ya mji huo.kuwa rafiki na tulivu.

“Tunakwenda Babati kuweka Kambi yetu ya Pre-Season, tutakuwepo huko Kwa muda Wote wa maandalizi kabla ya msimu mpya kuanza,”

Acha ujumbe