Uongozi wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, George Mpole umemalizika na kwamba makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa kuwa Mpole yupo huru kujiunga na klabu nyingine kuanzia leo Disemba 7 2022.

Geita Gold inamshukuru Mpole kwa kazi, ushirikiano na utendaji mzuri aliouonyesha kwa kipindi chote.

Timu hiyo inamtakia Mpole kila la kheri katika maisha yake ya mpira wa Miguu. Uongozi wa klabu ya timu hiyo umethibitisha kuwa mkataba wake na kinara wa magoli Ligi kuu ya NBC msimu wa 2021/22, George Mpole umemalizika.

 

Geita Gold Fc wavunja Mkataba na Mpole

Na kwamba makubaliano ya pande zote mbili yamefikiwa kuwa Mpole yupo huru kujiunga na klabu nyingine kuanzia leo Disemba 7 2022.

Pia timu hiyo, inamshukuru Mpole kwa kazi, ushirikiano na utendaji mzuri aliouonyesha kwa kipindi chote. Geita Gold inamtakia Mpole kila la kheri katika maisha yake ya mpira wa Miguu.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa