Mmiliki wa Gwambina na Clouds FM Wachukuliwa Hatua na TFF

Baada ya taarifa kusambaa mitandaoni kuwa Mmiliki wa Timu ya Gwambina FC ya Mwanza kuwataka wachezaji wa timu hiyo kutafuta malisho sehemu nyingine, ziliibuka sababu nyingi ambazo wengi walishindwa kuelewa ni nini kinaendelea kwenye timu hiyo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 


Taarifa zilienda mbali zaidi na kuhusiha masuala ya rushwa kitu ambacho Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limeamua kuwaagiza wanasheria wake kuwachukulia hatua zaidi Mmiliki wa Gwambina pamoja na chombo cha Habari cha Clouds kwa shutuma za uongo dhidi ya TFF. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

gwambina

Taarifa kutoka TFF iliandika kuwa: “TFF limeelekeza Wanasheria wake kuchukua hatua dhidi ya Mmiliki wa klabu ya Gwambina na redio ya Clouds kwa kutoa shutuma za uongo dhidi yake”

“Iliendelea zaidi kwa kuelezea kuwa “Mmiliki wa Gwambina FC, Alexander Mnyeti kupitia kituo hicho cha redio amedai aliwahi kuombwa Tsh Milioni tano ili wapate kibali cha kutumia uwanja wao”

Gwambina kabla ya kutangaza kujitoa ilikuwa inacheza Ligi Daraja la Kwanza (Championship), na uwanja wake wa nyumbani ulioko Misungwi Mkoani Mwanza ulizuiwa kutumika kwa mechi za Ligi hiyo kwa kutokidhi vigezo.

Aidha TFF ilitoa wito kwa vyombo vya habari kuzingatia misingi ya taaluma. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

“Tiunavikumbusha vyombo vya habari kuzingatia misingi ya taaluma hiyo ikiwemo kutotoa habari zenye shutuma bila kusikiliza upande wa pili”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.