Ni Rasmi Gwambina Yaaga Soka la Bongo

Asubuhi ya leo zilisambaa taarifa mbaya kwa wapenzi wa soka ni baada ya kusikia ile timu iliyoshiriki Ligi kuu Tanzania bara msimu uliopitia Gwambina FC ya mkoani Mwanza kuwa imeumaliza mwendo. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

gwambina

Hii ni baada ya taarifa iliyotoelewa na Mwandishi wa Habari za Michezo Shaffi Dauda kuwa Mmiliki wa timu hiyo amewapa mkono wa kwaheri wachezaji wote na kuwataka watafute fursa nyingine kokote.

“Taarifa za awali ni kuwa Klabu ya soka ya Gwambina imeagana rasmi na soka na tayari imewaruhusu wachezaji wake wote, kutafuta maisha mapya ya soka kwenye timu nyingine nchini”.-Shaffi Dauda

Timu hiyo ilishushwa daraja msimu uliopita na hivyo kuangukia mpaka Ligi daraja la kwanza au ‘Championship League‘ lakini baadae mambo yalizidi kuwa magumu kwa upande wao hadi kufikia hatua wakashindwa kufika uwanjani kucheza mechi zao. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Ilifikia hatua mmiliki wa timu hiyo akasema kuwa uwanja wa Gwambina utatumika kufugia mifugo yake.

Tatizo liko wapi? Gwambina ni moja ya timu iliyozalisha wachezaji wengi wazuri kama vile Jimmyson Mwanuke anayekipiga Simba kwa sasa. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.