KOCHA wa Yanga SC Nasraddine Nabi amekuwa ni moja wa makocha wanaosisitiza sana nidhamu kwa wachezaji wake, tangu akiwa Al Hilal ya Sudan alikuwa ni mtu wa kusimamia nidhamu ya timu. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Sasa Nabi amesema kuwa kwenye kikosi chake hataangalia tena majina, kama mchezaji hatafuata sheria za timuatamuweka benchi maana Yanga ni kubwa kuliko mchezaji. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.
“Mashabiki lazima wajue, Mimi sitamuogopa mchezaji Yeyote ambaye hatoheshimu Sheria zangu na kuiheshimu Yanga” -Nasraddine Nabi

Hili linatokana na baadhi ya wachezaji wa Yanga kuwa na nidhamu mbovu na taarifa za ndani zinabainisha kuwa hili linatokana na mchezaji Bernard Morrison kutoonekana kikosini hapo kwa muda na kuzua mijadala mingi ni wapi alipo. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

