Mechi nyingine ya ligi kuu ya NBC itakuwa ni kati ya mwenyeji Ihefu dhidi ya Coastal Union majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Highland Estate.

 

Ihefu Mwenyeji wa Coastal Union Leo

Ihefu anashikilia nafasi ya 9 kwenye msimamo baada ya kucheza mechi zake tano na kushinda mechi mbili akiwa hana sare na kupoteza mara tatu kwenye ligi hadi sasa. Ikumbukwe kuwa klabu hiyo ilimtimua aliyekuwa kocha wao Katwila na sasa wana kocha mpya.


Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Wakati kwa upande wa Coastal Union wao wakiwa nafasi ya 15 kwenye msimamo yani ya pili kutoka mwisho wakivuna alama zao mbili pekee kwenye mechi zao tano walizocheza wakiwa hawajashinda mchezo wowote hadi sasa.

Ihefu Mwenyeji wa Coastal Union Leo

Mechi ya mwisho vijana wa Mbarali walipoteza, hivyo wanataka kulipa kufuta machungu yao leo lakini wanakutana na Wagosi wa Kaya ambao nao hali ni mbaya wakiwa wanajitafuta hadi sasa.

Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Mechi ya mwisho kukutana, Wanamangushi walishinda kwa ushindi mwembamba. Je leo hii wakiaw ugenini wanaweza kupata alama zao tatu za kwanza toka ligi ianze?. Au Walima Mpunga wanaweza kuwazuia.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa