Ligi kuu ya NBC Tanzania kurejea hii leo kwa michezo miwili, huku mchezo wa mapema kabisa utakuwa ni ule ambao unawakutanisha kati ya JKT Tanzania dhidi ya Kagera Sugar majira ya 10:00 jioni.
Mchezo huo utapigwa katika dimba la CCM Kambarage huku timu hiyo mwenyeji akiwa ampenada daraja msimu huu na huu utakuwa mchezo wake wa tatu halikadhalika kwa Walima Miwa.
Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.
JKT kwenye hiyo michezo mitatu ambayo amecheza ameshinda mmoja na amepoteza miwili wakati kwa upande wa timu kutoka kanda ya ziwa ikiwa ina matokeo sawa na mwenyeji wake.
Yani hapa zinakutana timu mbili ambazo zina pointi sawa na uhitaji wa pointi tatu ni muhimu kwa timu zote mbili. Je nani ataibuka na ushindi mechi hii?
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Takwimu zinaonyesha kuwa mechi 5 za mwisho walipokutana, mwenyeji ameshinda mechi zote. Kisasi kitalipwa na Kagera Sugar leo?