KLABU ya Simba SC Imepiga hodi nchini Afrika Kusini, kwenye klabu ya Golden Arrows ili kumchukua kocha Mkuu wa timu hiyo Steve Komphela, ili kuja kuchukua nafasi ya Abdelhack Benchika iliyokuwa Ikikaimiwa na Juma Mgunda. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Simba SC na Coastal Union wamemalizana na Kocha Mgunda ambaye, atajiunga nao kama kocha mkuu ili kukinoa kikosi hicho cha Wagosi wa Kaya kwenye mashindano ya kimataifa ya Kombe la Shirikisho, ratiba inaonesha Agosti michuano hiyo itaanza kwa timu zinazoanzia hatua ya awali kabisa.
WASIFU WA KOCHA STEVE KOMPHELA
Wasifu wa Kocha huyu ambaye amefundisha kama kocha mkuu wa Mamelodi na kocha msaidizi chini ya makocha wakubwa kama Pitso na Mokwena, ni muumini wa mfumo wa 4-4-2 double 6. Jisajili na Meridianbet upate bonasi za kasino kibao na odds kubwa za ubashiri kwa machaguo kibao.
2023/24: Amefundisha kama kocha Mkuu Golden Arrows.
2023/24 (Julai4- Feb 19-2024): Moroka Swallows
Oktoba 24, 2022/23: Mamelodi Sundowns- (Kocha Msaidizi)
2020/21: Mamelodi Sundowns, Kocha Mkuu.
2018/19: Golden Arrows, Kocha Mkuu.
2017/18: B.Fontein Celtic, Kocha Mkuu
2015/16: Kaizer Chief, Kocha Mkuu
2013/14: Maritzburg Utd, Kocha Mkuu
2011/12, Timu ya Taifa ya Afrika Kusini, Kocha Msaidizi.
Pia kocha huyo, kwa wakati tofati amewahi kuwa kocha Mkuu wa vilabu kama, FS Stars, Platnum Stars, Afrika ya Kusini chini ya umri wa miaka 20, Dynamos FC na Maning Rangers.
Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.