Mwenyekiti wa Klabu ya Simba, Murtaza Ally Mangungu amemteua, Dr. Kailima Ramadhani Kombwey kuwa mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba Sports Club Company Limited.
Taarifa ya Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo imebainisha kuwa Dkt. Kailima ataungana na wajumbe wengine waliochaguliwa kuiwakilisha Simba Sports Club katika bodi ya Wakurugenzi, sambamba na wajumbe wengine walioteuliwa na Muwekezaji, Mohammed Dewji.
“Uteuzi huo umefanyika kwa mujibu wa Ibara ya 27 (1) (d) ya Katiba ya Simba Sports Club, 2018 (Kama ilivyofanyiwa marekebisho 2024) inayompa mamlaka Mwenyekiti wa Klabu kuteua wajumbe wawili wa bodi. Uteuzi huu unaanza kazi mara moja.”
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.