METACHA KILA KITU SAFI NA BLACK STARS

GOLIKIPA Metacha Mnacha amekamilisha usajili wa kujiunga na Singida Black Stars Kwa mkataba wa miaka miwili.

Kwa Mujibu wa taarifa kutoka ndani ya Uongozi wa Yanga, inasema kuwa kinachosubiriwa ni kuagwa na Kutambulishwa kwenye Chama lake jipya.

“Ni kweli ameshamalizana na sisi na kinachosubiriwa ni uongozi kumuaga tu na kisha atambulishwe kwenye timu yake mpya ya Singida ambayo wameshamalizana nao Kila kitu,” alisema.

Acha ujumbe