Pan African kuanza tizi kesho

Kikosi cha Pan African, kesho jumatano kinatarajia kuanza mazoezi yake kwa ajili ya kujiweka sawa kuelekea mchezo wao ujao wa ligi dhidi ya Green Warriors.

Mchezo huo wa ligi ya Championship unatarajia kupigwa Januari 14 mwaka huu kwenye Uwanja wa Mej. Isamuhyo, Mbweni Jijini Dar.

Pan African kuanza tizi kesho

Akizungumzia mipango yao, Ofisa Habari wa Pan African, Leen Essau amesema kuwa tayari wameweka mikakati ya kuhakikisha wanarejesha makali yao katika michezo iliyobakia.

Pan African kuanza tizi kesho

“Dirisha la usajili limefunguliwa tayari hivyo kwa sasa tunakamilisha baadhi ya sajili za wachezaji ili ligi itakaporejea tuweze kuwatumia katika kurejesha makali yetu.

“Kikosi kinatarajia kuanza mazoezi kesho jumatano kwa ajili ya kujiandaa na mchezo wetu dhidi ya Green Warriors utakaopigwa Januari 14 mwaka huu.”

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.