Wachezaji Hawa Simba Kucheza dhidi ya Dodoma Jiji Kesho

Kocha wa Simba Robertinho ni kama haelewi afanye nini, ni baada ya wachezaji tegemezi wa kikosi cha kwanza takribani 9 kuukosa mchezo wa kesho dhidi ya Dododma Jiji kwa sababu za majeruhi na kadi 3 za njano kwa baadhi ya wachezaji. Meridianbet wanatoa ODDS kubwa kwenye mechi zote. Bashiri hapa.

 

simba

Wachezaji wa Simba wanaoukosa mchezo kwa sababu za majeruhi ni Peter Banda, Mosses Phiri, Henock Inonga, Jonas Mkude na Cloutus Chota Chama ambaye hata mchezo uliopita alicheza dakika 30 tu na mazoezi ya mwisho kabla ya mchezo na Mbeya City hakuwa akijisikia vizuri.

Kwa upande wa wachezaji ambao watakosa mchezo kutokana na kadi za njano ni pamoja na Sadio Kanoute, Pape Ousmane Sakho, Mzamiru Yassin pamoja na beki wa kati Joash Onyango. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet.

 

simba

Huenda ukawa unajiuliza Robertinho ataanza na wachezaji gani Jumapili Dodoma Jiji vs Simba SC? Meridianbet Sports tunakuletea wachezaji wanaoweza kuanza kwenye mchezo huo: Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

1. Aish Manula
2. Shomari Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Mohammed Outtara
6. Erasto Nyoni
7. Agustine Okrah
8. Nassor Kapama
9. John Bocco
10. Saido Ntibazonkiza
11. Kibu Denis

Wachezaji wa akiba huenda wakawa ni hawa wafuatao:

Ally Salim, Beno Kakolanya, Jimmyson MWANUKE, Mohhamed Mussa, Habib Kiyombo, Jean Baleke, Ismael Sawadogo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.