Tayari klabu ya Simba imeanza kuongea na baadhi ya makocha ili kuangalia uwezekano wa kupata huduma zao.

Tayari CEO wa Simba Imani Kajula ameshafanya mawasiliano na Makocha wakuu wawili (2) na kocha wa viungommoja (1) ila mambo yakaenda hovyo kutokana na kuhitaji mshahara Mkubwa.

Inadaiwa kipaumbele cha kwanza ilikuwa ni kwa kocha wao wa zamani Sven Vanderbroek, huku pia wakimtolea macho kocha wa sasa wa Asec Mimosas, Julien Chevalier. Kocha wa viungo wanataka arejee Adel Zrane.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa