Klabu ya soka ya Simba leo itaku kwenye dimba la Sokoine jijini Mbeya kumenyana na klabu ya Mbeya City katika mchezo wa ligi kuu ya NBC kuzitafuta alama tatu muhimu.

Wekundu wa Msimbazi ambao kwasasa wanakamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi kuu ya NBC watakua wanatafuta alama tatu muhimu ili kuweza kurudi kileleni mwa msimamo, Baada ya watani zao jana kushinda mchezo wao dhidi ya klabu ya Dodoma Jiji nan kurejea kwenye uongozi wa msimamo.simbaSimba dhidi ya vilabu vya Mbeya hua unakua mchezo mgumu sana lakini mabingwa hao wa zamani wa ligi kuu wanaamini wana uwezo wa kuchuku alama tatu muhmu katika dimba la Sokoine jijini Mbeya dhidi ya wakusanya mapato hao wa jiji la Mbeya.

Klabu ya Simba leo itakua na wachezaji wake wote muhimu ambao walisafiri na timu huku Clatous Chama akiwa anaenda kucheza mchezo wake wa pili akiwa ametoka kwenye adhabu ya kufungiwa michezo mitatu.simbaPia katika mchezo huo kutakua na vita nyingine ambayo watakutana washambuliaji ambao wanagombea kiatu cha mfungaji kutoka klabu ya Mbeya City Sixtus Sabilo mwenye magoli saba huku Moses Phiri akiwa na magoli sita. Hivo kila mmoja leo atahitaji kufunga katika mchezo huo ili kujiweka kwenye mazingira mazuri ya kunyakua kiatu hicho msimu huu.

simba, Simba Ndani ya Mbeya Kuzisaka Alama Tatu, Meridianbet

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa