Klabu ya Soka ya wanawake ya Simba Simba Queens kushuka dimbani leo dhidi ya klabu ya wanawake ya Mamelodi Sundowns kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika inayopigwa nchini Morocco.

Klabu ya Simba Queens imefanikiwa kutinga nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika baada ya kushinda mechi zao mbili katika kundi lao ambalo lilijumuisha timu nne baada ya kufanikiwa alama sita na kumaliza nafasi ya katika kundi lao.simba queensKlabu ya Mamelodi wao wanakutana na klabu ya soka ya wanawake ya Simba baada ya kuongoza kundi lake kwa kushinda michezo yote mitatu huku wakifunga magoli 11 huku wakiruhusu goli moja tu katika hatua hiyo.

Simba Queens kama watafanikiwa kushinda mchezo wa leo dhidi ya Mamelodi Sundowns watakua wamefanikiwa kuingia fainali mbili mfululizo ndani ya mwaka mmoja, Hiyo ni baada ya kufanikiwa kufika fainali ya kombe la Cecafa na kubeba taji hilo.simba queens Klabu hiyo pia kama watafanikiwa kufuzu hatua ya fainali na kubeba taji hilo basi watabeba kitita cha milioni 932, Hivo inaonesha ni namna gani timu hizo zitapambana kutokana na kiwango ch pesa kilichowekwa.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa