BAADA ya Yanga kumchukua Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam FC, sasa inafanya mipango ya kumshusha kikosini, Jean Baleke aliyewahi kuwika na Wekundu wa Msimbazi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Ndio, habari kutoka vyanzo vya kuamnika ni kwamba kwamba kuna uwezekano wa asilimia 99 mshambuliaji huyo aliyeondoka katika dirisha dogo akiifungia Simba mabao manane akawa mali ya Yanga.
Safu ya ushambuliaji ya Yanga inategemewa kuwa na Jean Baleke, Prince Dube, Kennedy Musonda na Walidi (Clement) Mzize. Huku viungo wake wakiwa ni Stephan Azizi Ki, Clatous Chota Chama, Pacome ZouaZoua na Max Mpia Nzengeli. Katika hatua nyingine Mabingwa hao wa Nchi wameachana na Joseph Guedde ambaye alikuwa mmoja wa wachezaji waliong’ara msimu uliopita.
Akizngumza kuhusu tetesi za yeye kurudi Bongo, na usajili wake Jean Baleke alisema kwamba kwa upnde wake yupo tayari kucheza katika timu yeyote, iwe Yanga, Azam FC au kama Simba wakimuhitaji arudi tena basi atarudi.
Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.
“Tanzania ni nymbani ila bado nina uraia wa Congo DR, Nimerudi hapa kuchukua vitu vyangu, Nasikia watu wanazungumzia kuhusu mimi kucheza Yanga, wengine wanasema njoo Yanga, Njoo Azam, Rudi Simba,timu yeyote ikinipigia niende nanda. Hata Simba wakinipigia simu nirudi nipo tayari kurudi” Jean Baleke
Aidha mchezaji huyo ambaye aliondoka Simba akiwa na mabao 8, amezungumzia juu ya mkataba wake na klabu yake ya sasa Al-Ittihad ya Libya kwamba ulikuwa wa mkopo wa mwaka mmoja, katumikia miezi sita, imebakia sita, hivyo lolote linaweza likatokea.
Jean Baleke ndiye mfungaji bora wa ligi ya Libya, alimaliza na mabao 14, alicheza mechi nane na alifunga hat-trick nne.
Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.
This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.
Strictly Necessary Cookies
Strictly Necessary Cookie should be enabled at all times so that we can save your preferences for cookie settings.
If you disable this cookie, we will not be able to save your preferences. This means that every time you visit this website you will need to enable or disable cookies again.