Klabu ya soka ya Yanga imefanikiwa kurejea kileleni mwa msimamo wa kigi kuu ya NBC baada ya kushinda bao moja kwa bila dhidi ya klabu ya Kagera Sugar. Mchezo uliopigwa katika dimba la CCM Kirumba jijini Mwanza.

Bao la mapema la kijana Clement Keze ndio limefanikiwa kuziweka salama alama tatu za klabu ya Yanga katika mchezo huo uliokua mgumu, Wananchi wanarejea kileleni baada ya kufikisha alama 23 huku klabu ya Azam Fc wakiwa nafasi ya pili kwa tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa huku Simba wao wakishuka hadi nafasi ya tatu ana alama zao 21.yangaMchezo huo ambao ulikua na ushindani mkubwa huku klabu ya Kagera Sugar wakionekana kutawala mpira zaidi, Lakini wananchi walifanikiwa kupata ushindi katika mchezo huo na kufikisha michezo 46 bila ya kupoteza katika ligi kuu Tanzania Bara.

Pongezi myimgi zimemuendea golikipa wa klabu hiyo Djigui Diarra baada ya kuchomoa mkwaju wa penati uliopigwa na Erick Mwijage na kufanya mcheo huo kuisha kwa bao moja kwa bila.yangaKlabu ya Yanga mpaka sasa wamefanikiwa kupata matokeo ya ushindi wakiwa ugenini kwenye michezo mitano mfululizo ya ligi kuu na hii inaonesha kwa kiwango kikubwa klabu hiyo imedhamiria kutetea ubingwa wake.

aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa