Klabu ya Yanga imeondoshwa kwenye kinyang’anyiro Cha klabu bora Afrika baada ya mchujo wa mwisho kuzipitisha klabu za Al Ahly, Wydad Casablanca na Mamelodi Sundowns!
Yanga licha ya kuingia Tano bora lakini haikufanikiwa kupenya kwenye Tundu la mwisho,
Pia Kocha wasasa wa Simba Sc Abdelhak Benchikha akiingia tatu bora,
Huku wengine ni Aliou Cisse (Senegal) na Walid Regragui (Morocco).

