Klabu ya soka ya Yanga imeweka rekodi baada ya kushinda mchezo wao wa jana kwa bao moja kwa bila na kuwatoa klabu ya Club Africain ya nchini Tunisia katika uwanja wao wa nyumbani na kufuzu makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika.

Klabu ya Yanga wameweka rekodi kua tmu ya kwanza kutoka nchini Tanzania kushinda mchezo katika nchi za Kaskazini mwa Afrika, Imekua ngumu sana kwa nchi kutoka ukanda wa mashariki,kusini na magharibi kupata matokeo kwenye nchi za kaskazini mwa Afriki yaani nchi za Kiarabu lakini Wananchi wamefanikiwa katika hilo.yangaKlabu ya Simba wao walifanikiw kuwatoa klabu ya Zamalek katika ardhi ya nyumbani kwa njia ya mikwaju ya penati, Kwani walipata matokeo katika uwanja wa nyumbani kwa bao moja kwa bila na kupoteza bao moja bila nchini Misri kitu kinachofanya Wananchi kuweka rekodi.

Baada ya kuwatoa Club Africain klabu ya Wananchi imeweka rekodi ya kushinda na kufuzu kwenye ardhi ya ugenini kwa mara kwanza rekodi ikiandikwa kwa timu kutoka Tanzania.yangaKlabu ya Yanga jana wamefanikiwa kufuzu hatua ya makundi ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya miaka minne kupita, Kwani mara ya mwisho kwa klabu hiyo kufuzu hatua ya makundi shirikisho ilikua mwaka 2018 dhidi ya Township Rollers kutoka Bostwana.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa