Achraf Hakimi Kurejea Real Madrid?

Beki wa Paris Saint-Germain Achraf Hakimi anaripotiwa kuwa na hamu ya kurejea Real Madrid kwenye msimu huu wa joto.

Katika msimu wake wa kwanza akiwa na klabu ya Parc des Princes, mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 amefanikiwa kuwepo kwenye kikosi cha kwanza mara kwa mara, akicheza mechi 20 na kutokea benchi mara mbili kwenye mashindano yote.

Mkataba wa mchezaji huyo wa kimataifa wa Morocco na mabingwa hao wa Ufaransa unadumu hadi 2026, na hii inabainisha kuwa kuna uwezekano mdogo wa kuhama mwaka 2022.

Hakimi
Hakimi

Hata hivyo, kwa mujibu wa El Nacional, beki huyo wa pembeni mwenye ufundi wa kushambulia anataka kujiunga tena na Los Blancos ikiwa ni mwaka mmoja tu baada ya kuondoka.

Ingawa ripoti hiyo inaonyesha kuwa maafisa wa Real wanafuatilia hali hiyo, Real hawana uwezekano wa kutaka kufikia bei ambayo walipokea mapema mwaka huu kwa Hakimi.

Hakimi inasemekana kugharimu €71m (£60.33m), dau ambalo pia lilijumuisha nyongeza ambazo zinaweza kuamilishwa katika misimu ijayo.


AGENT JANE BLONDE AMEREJEA MSIMU WA SIKUKUU.

Unaweza kujishindia mamilioni katika kasino yako pendwa ya meridianbettz, mchezo wa Agent Jane Blonde Return ni moja ya michezo inayopendwa kwasasa huku ikiwafanya wachezaji kuwa mamilionea kila siku. Unasubiri nini! ungana na Agent Jane Blonde akufanye milionea.

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.