Adam Ounas amebainisha kuwa amepata wakati mgumu kutulia katika kiwango na mbinu za Serie A akiwa pale Napoli. Sasa anajiona yupo tayari kabisa kwa Serie A akiwa na Cagliari.
Nyota huyu alikamilisha uhamisho kwenye siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho kutoka Napoli kwenda Cagliari kwa mkopo na chaguo la kumnunua kwa €16.

Msimu uliopita Napoli pia walimtoa kwenda Nice kwa mkopo. “Kulikuwa na ofa kadhaa lakini niliamua kwenda Nice ili niwe katika nafasi nzuri ya kujiandaa kurudi Italia”
Kwa mujibu wa nyota huyu, Serie A ndiyo ligi inayohusisha mbinu zaidi za kiufundi ukilinganisha na League 1, ambako alikuwepo awali. Lakini alijifunza baadhi baadhi ya misingi.
Staa huyu anasema alipokuwa alikua, Cristiano Ronaldo ndiye alikuwa nyota wake, alitamani alikuwa angekuwa kama yeye lakini amekuwa na kuwa mchezaji wa aina yake pekee
Adam Ounas ameingia kwenye kikosi cha Cagliari cha kocha Eusebio Di Fransesco kucheza 4-3-3.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Caroline
Safi Sana.All the best
Shani
Ounas ni safi kuiwakilisha cagriali
Adelta
Inapendeza sanaaaaaa
magdalena
mambo yanaanza kunoga sasa
Sauda
Vizuri sana
Ernest
Kila la heri
Mwanahamisi
Kila la heri
Fatina mfigi
Safii
Neema
Mambo mazuriii mno
Saupha mohamed
Kila la kheri
Angelina
Safi
Samira
Vizuri sana
lombo
habar njema
Fatuma kasomo
safi sana
Povel
Nice update
Hopemwaikuka
Ni jambo jema
David Pere
Adam Ounas ameingia kwenye kikosi cha Cagliari cha kocha Eusebio Di Fransesco
Lydia Emmanuel Magoti
Vizuri Sana kusikia ivyo sisi mashabiki Adam
Rehema
Iko poa
aisha
Imekaa powa sana hiyo
Amiri Kayera
Jamb la kher
Sabrina
Safi sana
Gabriel
Kila la kheri
Rose kapinga
Kila la kher