NYOTA WA REAL MADRID, Luka Modric ameweka wazi kuwa anasikitika mafanikio ya aliyekuwa mwanatimu mwenzake Gareth Bale alipokuwa na klabu ya Real Madrid yalisahaulika kiasi cha kulazimisha kumuondoa kwa mkopo kwenda Tottenham.
Uhusiano kati ya Bale na Zidane ulishindwa kuimarika tangu awali meneja huyu alipoweka wazi kuwa Bale hayupo kwenye mioango yake. Msimu huu alisistiza zaidi kuwa Bale hayupo katika mipango ya kampeni yake ya msimu huu 2020-21,
Awali, Bale tayari alikuwa amejiandaa kukamilisha usajili na klabu moja ya china inayoshiriki Chinese Super League kwa mshahara wa £1m kwa wiki lakini dili lilikwama.

Luka Modric, ambaye alishawi kuwa na Gareth Bale katika timu zote, Spurs na Real Madrid amebainisha kuwa Bale hakuwa na matatizo yeyote na wanatimu wenzake kikosini pale, alienda sawa na wachezaji wote.

Luka Modric
“Nimekuwa na Gareth karibu maisha yangu yote ya soka la kulipwa na ni mtu safi sana. Ana aibu, kama mimi. Wanchsema juu yake siyo sawa, wanaangalia zaidi alichofanya miaka hii, lakini alichowafanyia Real Madrid ni kikubwa na atakumbukwa wakati wote kama mchezaji aliyeifanyia klabu mambo mengi.”
Licha ya baadhi ya wafuasi wa Real Madrid kumgeuka Bale, ni matumaini ya Modric kuwa watakumbuka mchango wake pindi alipokuwa klabuni hapo na mafanikio ambayo klabu ilipata wakati alipokuwepo.
Sasa unaweza kuweka pesa moja kwa moja kwenye akunti yako ya Meridianbet kwa kutumia mtandao wa Airtel. Usipate wasi wasi, tunaifanya kazi kuwa rahisi zaidi!


Sabrina
Luka Modric wacha maisha yaendelee
aisha
Bale kitampata kitu mbona jamaa anasikitika sana au sehemu aliokwenda sii sahihi
Rehema
Luka Yuko poa
Theonestina
Habari njema
Gabriel
Bale maamuz yake mwenyew
felister
Luka yupo sahihi
Rose kapinga
Mmmh!! Mambo ya soka hayoo!!!
Adelta
Luka yupo sahii
magdalena
duh mbona hii kali sana
Mwajumah
Bale maamuzi yake mwenyew
Dorophina
Bale anakipaji cha kucheza mpira vizuri see yy anamaamuzi wapi haende
Lydia Emmanuel Magoti
Duu bale hamue mamuzi yake yeye Kama yeye
Fatina mfigi
Duuuh
Sauda
Luka yupo sawa kabisa
Tatu
Bale kuondoka hapo yupo sahihi
Zeiyana
Bale amekua akilipwa dau kubwa sana pale Real Madrid kwa ali ya uchumi hilivyoshuka naona ndio imekua sababu ya kushinwa maelewa na uwongozi wake
Janeflora malisa
🔥
Mariam mtandama
Safi
Mwanahamisi
Luka yupo sahihi
Caroline
Inabidi wakumbuke fadhila
Nasra
Gud news
Ernest
Zidane amezingua sana juu ya Bale, kivuli cha Bale lazima kimuwinde Zidane
Venerose
Bale yupo sahihi
Shani
Bale ni mchezaji mzuri sema majeruh yaimfanya awe nje kwa muda na kupelek kiwango kupungua
Saupha mohamed
Bale yupo vuzuri
Samira
Wamuache tu madrid wenyewe walikua hawampi nafasi
Angelina
Goodupdate
Fatuma kasomo
Yupo sahihi
Neema
Namuunga mkono luka
Issa
Bale mpira mguuni ila majeruh yanamkosesha uwezo uwanjan
Povel
Wacha maisha yaendeleh kwny soka
Hopemwaikuka
Mpenz mtamaj nipo
David Pere
Bale anakipaji cha kucheza mpira vizuri see yy anamaamuzi wapi haende
Amiri Kayera
Njia sahii yakumuonyesh nikufany vzur
Rose kapinga
Thamani imekwisha