Agnelli Amjibu Dyabala Juu ya Mkataba Mpya

Rais wa Juventus Andrea Agnelli amemjibu Paulo Dybala akisema kuwa klabu tayari imempa nyongeza ya mkataba, na kuwa klabu inasubiri jibu lake kukamilisha hilo.

Akizungumzia suala hilo pia, raisi amesisitiza kuwa nyota huyu bado hajawa miongoni mwa mastaa watano wakubwa wa dunia.

Staa huyu alifunga bao lake la kwanza kwa msimu huu wa Serie A dhidi ya Genoa jana na baada ya mchezo alidai Juventus bado hawajampa ofa ya kuongeza mkataba wake.

Dyabala alinukuliwa akisema “Wakala wangu alikuwa Turin kwa muda mrefu na hakuitwa tena.”

Agnelli Amjibu Dyabala
Dyabala

“Inanikatisha tamaa kusikia mazungumzo ya watu waliowekeza kifedha. Ingekuwa bora ikiwa ukweli ungesemwa, kwa sababu kuzungumza juu ya takwimu hizi katika hali ya sasa kunawashtua mashabiki kuwa na chuki dhidi yangu, na mapenzi yote niliyonayo kwa Juventus,” – Paulo Dybala

Hata hivyo, Agnelli ambaye amesema amesekia yale yaliyosemwa na nyota huyu anasema kuwa kuwa na mapenzi na klabu sio dhambi. Hata hivyo, nyota huyu alipitia kipindi kigumu wakati alipopata Corona. Na amebainisha kuwa suala la mkataba klabu inasubiri tu jibu. Wanaamini atakuwa nyota bora zaidi baadaye.

Mkataba wa mshambuliaji huyo wa Argentina unamalizika mnamo Juni 2022.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

14 Komentara

    Paulo ni bora abakie tu juventus

    Jibu

    Dyabala mjanja Sana

    Jibu

    Abaki tu juventusi

    Jibu

    Dyabala anajua nini anakifanya

    Jibu

    Dyabala ni noma

    Jibu

    Imeeleweka

    Jibu

    Dyabala ni mtu makin

    Jibu

    Ngoja tuone

    Jibu

    Dyabala sio poa

    Jibu

    Asnt kwa taarif meridianbet

    Jibu

    Good newes

    Jibu

    Gud

    Jibu

    Dyabala yupo vizuri

    Jibu

    Ndo basi tena kutoka

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.