Mino Raniola: Najutia Kumpeleka Ibrahimovic MLS

Mino Raniola amechukua tuzo ya wakala bora zaidi kwa mwaka 2020 (Golden Boy 2020) na katika kuzungumzia mafanikio yake amegusa pia suala la Zlatan Ibrahimovic.

Raniola anasema kuwa kwa nafasi yake ameweza kuonana na wachezaji wa aina nyingi sana, na ameona wachezaji ambao walichoka wakiwa katika umri wa Zlatan, kwa kuwa haikuwa bahati kwao aliwaonea huruma.

Mino Raniola: Najutia Kumpeleka Ibrahimovic MLS

Wakala huyu, amesema kuwa yeye hajawahi kuona kama Zlatan amechoka kwa namna yeyote, zaidi anajilaumu na kujutia kwa nini alimpeleka kwenye Ligi ya MLS, akiamini kuwa Zlatan ni bora zaidi, na alikuwa na uwezo wa kuonesha zaidi ya anachokifanya sasa hivi, na ana uwezo wa kucheza hata miaka mitano zaidi.

“Najutia kumpeleka MLS, ilikuwa ni kupoteza mda. Huko mbeleni atachukua jukumu muhimu, labda anaweza kuwa raisi wa UEFA, ili aweze kuchangamsha soka.”

Raniola anasema kuwa yeye ana uhusiano mzuri sana na Zlatan, na sehemu ya familia wamefanya mambo mengi pamoja na kuwa pamoja katika nyakati nyingi za furaha.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

13 Komentara

    🔥🔥🔥🔥🔥

    Jibu

    Asante kwa taarifa

    Jibu

    Ibrahimovic yupo vizuri sana

    Jibu

    Hina pendeza

    Jibu

    Ibra achuji

    Jibu

    Ndo bas tena

    Jibu

    Saf

    Jibu

    Ibrahimovic kazi kazi tuu hana maneno

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Vzr

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Imekaa poa sana mpaka kuwa wakala bora

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.