James Harden Arejea Mazoezini na Rockets.

Timu mbalimbali zinazoshiriki ligi ya NBA zimeanza kujiandaa na msimu mpya 2020/21. Timu ya Houston Rockets ilikuwa na mlinzi wake mahiri – James Harden katika mazoezi.

James Harden anahusishwa na kuondoka kwenye timu hiyo ambapo timu ya Brooklyn Nets na Philadelphia zinatajwa kuwania saini ya mlinzi huyu.

Haijathibitika kama Harden ataondoka au laa lakini mlinzi huyo alijiunga na wachezaji wengine katika mazoezi ya timu hiyo kuelekea kuanza kwa msimu mpya tarehe 22 Disemba, 2020.

James Harden

Akizungumzia hali ya Harden kikosini hapo, kocha mkuu wa Rockets – Stephen Silas amesema ” tulifanya mazungumzo mazuri na Harden aliporipoti mazoezini. Unaweza kumuuliza yeye kuhusu uwepo wake na vitu kama hivyo, lakini tulikuwa na mazungumzo mazuri.

“Alishiriki vizuri, alikuwa anauliza maswali mazuri na alichangia mambo mengi mazuri , tulikuwa na majadiliano mazuri. Tulizungumzia mpira wa kikapu. Mimi ni kocha wa kikapu na yeye ni mchezaji wa kikapu.

“Kuhusu habari za usajili na vitu kama hivyo, hilo ni jambo lingine mnalopaswa (waandishi wa habari) kumuuliza yeye.”


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

15 Komentara

    Safi sanaaa

    Jibu

    Inapendeza san

    Jibu

    Vizuli

    Jibu

    Jambo zuri

    Jibu

    James yupo vizuri sana

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Mtu hatari

    Jibu

    Habar njema hii

    Jibu

    Habari nzuri kwa The Rockets

    Jibu

    Vizuri sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Jambo zuriii

    Jibu

    Jambo jema

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Huwa namkubali sana James

    Jibu

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.