Aguero Aingia Kwenye Anga za Juventus.


 

Mchezaji wa Manchester City, Sergio Kun Aguero ameingia kwenye anga za mabingwa wa Italia, Juventus wanaotaka kumsajili kama mchezaji huru majira ya kiangazi baada ya mkataba wake kutamatika na Citizen. 

Mshambuliaji wa Argentina anaweza kuondoka bure kwenye dirisha la uhamisho wa majira ya joto ambapo mkataba wake unakamilika.

 

Tetesi mbalimbali kutoka Italia zinasema Juventus inafikiria kumchukua mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, hiyo pia kulingana na taarifa kutoka Sport Mediaset.

Mkataba wa kimataifa wa Argentina utamalizika mwishoni mwa msimu na miamba wa Serie A wanaamini atasaidia kuimarisha mashambulizi yao pamoja na Cristiano Ronaldo.


Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx

Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.

  CHEZA HAPA

6 Komentara

    Kaz hipo hapo

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Nzuri sana

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Itakuwa poa aguero kwenda Juve

    Jibu

Acha ujumbe