Kocha wa Crystal Palace Roy Hodgson amethibitisha kwamba Wilfried Zaha na Jeffrey Schlupp watapatikana kwenye kikosi katika mchezo wa Jumapili dhidi ya Tottenham katika Premier League.

Zaha amekuwa nje ya dimba tangu mwezi Februari 2 wakati alipopata jeraha la harmstring katika mchezo wa ligi dhidi ya Newcastle.
Crystal Palace wamekuwa wakipambana sana kupata matokeo tangu winga huyo aumie, wameshinda mechi moja katika michezo yao mitano iliyopita.
Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Schluppnaye pia yupo sawa kurejea dimbani baada ya kukabiliana na jeraha paja.
“Amefanya mazoezi vizuri wiki hii, hakuna sababu ya kutomzingatia kwa kumapa nafasi yake ndani ya timu,” Hodgson amesema alipokuwa na waandishi kuelekea mechi dhidi y Spurs.
“Tunapenda kumkaribisha tena yeye pamoja na Jeff Schlup, ni furaha kuona anarejea wote wawili ni wachezaji muhimu ndani ya timu tumewakosa kwenye michezo mitano au sita iliyopita.
Zaha amekuwa akifanya kazi nzuri sana kwa Crystal Palace, na kuisadia kulinda kiwango cha timu katika Premier League.
Ni Muda wa Kuvuna Mkwanja na Jungle Jim and the Lost Sphinx
Hauihitaji kufikira mara mbili ni mchezo gani utakupatia mkwanja ndani ya kasino za Meridianbet. Jiunge sasa ufurahie Jungle Jim and the Lost Sphinx.



Lydia Emmanuel Magoti
Safii sana
Rahma
Vizuri
Sarah
Safii
Hopemwaikuka
Boraa
Adelta
Inapendeza
Caroline
Nzuri sana
warda
Lilikuwa bonge la mechi