Airtel Money Ipo Meridianbet!

HABARI NJEMA! Sasa unaweza kupiga *150*60# ili kuweka pesa kwenye akaunti yako ya Meridianbet kupitia Airtel Money.

Wakati uliokuwa ukiusubiria! Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet kwa Airtel Money na UPATE ZAIDI!

Kwa Meridianbet, muamala wako una thamani kuliko wakati wowote! Ongeza salio kwenye akaunti yako ya Meridianbet.co.tz kwa Airtel Money na upate ushindi mkubwa unapoanza tu kubashiri online kwa kupata 5% ya bonasi kwa kila muamala wa kuweka pesa.

Ukiwa na Meridianbet, ofa hii mpya kabisa inamaanisha sasa unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kwa kupitia Airtel Money. Haijawahi kuwa rahisi hivi na kuweka pesa kunaweza kukamilika kwa kufuata hatua chache tu.

Kuweka pesa kwenye akaunti, Piga *150*60# kisha lipa kwa namba ya kampuni 400700 kwa kiasi unachotaka kuweka kwenye akaunti yako.

Kwenye namba ya kumbukumbu ya malipo, ingiza namba 555 ikifuatiwa na namba yako ya akaunti ya Meridianbet.co.tz (Account ID). Mfano (555117132…).

Ndani ya sekunde chache tu, pesa itakuwa kwenye akaunti yako na utakuwa mbioni kupata USHINDI WAKO MKUBWA! Iwekee pesa timu unayopenda, bashiri kwenye KENO au Lucky Numbers au cheza kasino ya Live Dealer mpya zaidi kutoka Meridianbet.

Ni rasmi Meridianbet ni bora zaidi katika kukupa furaha zaidi na burudani kwenye mchezo!

Jisajili leo na uongeze salio kupitia Airtel Money.

46 Komentara

  hii ndio betting kampuni inayoongoza tanzania maana inatujali sana

  Jibu

  Asante sana meridian kwa kutuletea airtel

  Jibu

  Asanteni meridiansporttz kwa hii tena

  Jibu

  Mko juu bg up kwenu

  Jibu

  Hii ndiyo kambuni kubwa
  Tanzania tunajivunia sana

  Jibu

  Mpaka kwenye simu unamaliza mambo yako sasa wewe unangoja nn kujisajili na meridianbet ufurahie huduma zote.

  Jibu

  Mambo ni motooo haina kusubiri tena

  Jibu

  Mambo mazuri meridian ampingwi

  Jibu

  Meridianbet kiboko inatupa urahisi wakupata mkwanja

  Jibu

  Asante kwa taarifa

  Jibu

  Mshike mshike meridian awakamatiki

  Jibu

  unangoja nn kujisajili na meridianbet ufurahie huduma zote.line yako ya Airtel ndo mtaji wako

  Jibu

  Tusindwe sisi tu huku meridianbet kumenoga

  Jibu

  Nimehikubali meridianbet.

  Jibu

  Tushindwe sisi tu huku meridianbet kumenoga

  Jibu

  Meridianbet ukiwa na airtel nimpango mzima kutiririka

  Jibu

  Mwambieni kidevu na sisi tutakuwa washindi tuu kupitia Airtel Money mtandao bora kabisa Tanzania

  Jibu

  Duuh mpk Airtel safi sana meridian

  Jibu

  hii iko poa tuongezeeni na mitandao mingine

  Jibu

  That’s great#meridanbettz

  Jibu

  Mpo vizuri Sana meridiani👏

  Jibu

  Good 👍 news

  Jibu

  Mpo vizuri kuliko kampuni zote za beting

  Jibu

  Sasa ivi meridian kumenoga

  Jibu

  Meridianbet kumenoga na Airtel money wahi Sasa ujipatie mahelaaa
  #meridianbet

  Jibu

  Taarifa nzuri

  Jibu

  Thanks alot #meridianbettz

  Jibu

  Habar njema sana

  Jibu

  Asante sn taarifa

  Jibu

  Mpo vizur Sana meridianbet

  Jibu

  Tumewapata #Meridianbettz

  Jibu

  👐🙌

  Jibu

  nawapongeza kwa hili Mana tulikua tunapata tabu sana sisi wa Airtel money

  Jibu

  Meridianbet company inayoongoza kwa michezo ya kubeti Tanzania..mpo vizuri sana

  Jibu

  Habari njema kwa wapenzi wa kubeti

  Jibu

  Thanks meridianbet

  Jibu

  Tushindwe sisi meridian kumenoga

  Jibu

  Ahsante meridia kwa kutujali wateja wenu#meridianbettz

  Jibu

  Kazi kwetu wateja wa airtel money

  Jibu

  great now we can bet with Airtel #MeridianBetTZ

  Jibu

  Asnte kwa kutukumbuka watumiaji wa airtel

  Jibu

  Thnks meridian bet kwa kutusogezah karibu ss watumiaj was airtel

  Jibu

  Asante kwa taalifa

  Jibu

  Habar njema sana

  Jibu

  Meridianbet muko juu

  Jibu

  Vizur

  Jibu

Acha ujumbe