Anthony Joshua aliandika historia ya kuchapwa pambano lake la kwanza toka alipoanza kucheza ngumi za kulipwa Juni 2019. Andy Ruiz alifanya vyema kwenye moja ya pambano bora zaidi katika historia ya ngumi za uzani wa juu.
Andy Ruiz alitamba katika ulingo wa Madison Square Garden, ndani ya raundi saba, Ruiz aliweza kumuangusha AJ sakafuni kwa makonde mazito.
Ushindi ule ulimpa heshima Ruiz na kuandika historia mpya katika ndondi. Ruiz alifanikiwa kushikilia ubingwa wa dunia wa IBF, WBO na WBA baada ya pambano hili.
Kabla ya pambano hili AJ ndiye aliyepewa nafasi kubwa zaidi ya kushinda pambanao, hii ilikuwa ni kutokana na rekodi yake nzuri ya kushinda kwa KO.
Lakini, AJ hakuwa na namna zaidi ya kukubali kichapo. Baada ya safari ya raundi saba, aliamua kumpa saluti Ruiz kama bondia bora.
“Nimepigwa na bondia bora, itakuwa poa sana kuona anaweza kufika mbali kiasi gani, lakini hii yote ni sehemu ya safari. Yeye ni bingwa kwa sasa, lakini nitarejea.”
-Alinukuliwa Anthony Joshua.
Bondia huyu pia kupitia ukurasa wake wa Twitter alichapisha ujumbe wa kumpongeza mpinzani wake ambaye alimkimbiza na kumshinda ndani ya raundi saba. Ujumbe wake anasomeka:
“Huu ni usiku wa Andy, Hongera bingwa”

Athony Joshua alikuwa anatarajia kupandisha ulingoni hivi karibuni dhidi ya Tyson Fury, lakini taarifa zinasema kuwa pambano hili limesogezwa mbele.
Tiketi yako ya kwanza kamwe haiwezi kupoteza ukiwa na Meridianbet. Unarudishiwa 100% ya Tiketi yako ya kwanza.


Amiri Kayera
Ilikua game ngum Sana kwake
aisha
Mchezo una mambo mawili kushinda au kushinda na kama alishindwa ni jambi jema kukubali kwasababu yeye anajielewa
Issa
Dah joshua alipotea vibaya hii game kwa mara ya kwanza
Sadick
Ushindi wa kibonge mwepesi Andy Ruiz iliishangaza dunia hata pambano la pili Joshua alishinda kwa taabu. Ruiz ni bondia mzuri#meridianbettz
Lydia Emmanuel Magoti
Mwanzo wakupotea nikujua kwaio kakili mwenyewe alipotea hapo kwenye nakozi hizo
magdalena
kupoteza sio chanzo cha kufeli
Povel
Habar njema
Sauda
Pole kwa kupata kichapo, hongera kwa kumpongeza mpinzani wako..
Adelta
Good news 👍
#meridianbettz
Mwajumah
Daah Joshua kwa Mara ya Kwanza alipotea vibaya kwenye hii game#Meridianbettz
felister
ilikua game ngumu sana kwake
Zeiyana
Asante kwa makala
Caroline
Lazima kwenye mchezo ukubali matokeo yote kushinda na kushindwa
Tatu
Asiyekubali kushindwa so mshindani
Fatina
Ndo mchezo na mwisho wa cku mshindi lazima hapatikane
Dorophina
Ndondi ilikuwa ngumu sana pande zote mbili hakuna aliyekuwa tayari kushindwa
Nasra
Gud news
Mwanahamisi
Game ngumu
Hope mwaikuka
Hata hvyo kajitahid
Gabriel
Tatizo la AJ alijitangazia ushind mapema na kudharau sana bila kujua mpinzan wake amejipanga vp?
Furahav
Andy Ruiz namkubali sana,yuko vizuri.
Ernest Kimeru
Hii imevunja historia ya Athony baada ya kukubali kukalishwa
Shafii
Hii ilishangaza dunia baada ya Anthony kupigwa na kibonge tena minyama uzembe kweli mchezo wa ngumi ni taiming.
farida ahmadi
Mtanange huu hulikuwa mgumu sana
Saupha mohamed
Good news
Fatuma kasomo
Gud news
Frank
Alimdharau kibonge akajua minyama uzembe kumbeee
Latifa juma mohamed
Gud information.
David Pere
Alikubali kichapo lakini kwa mbinde sanaa , Ila kosa alilolifanya AJ kumdhalahi mpinzani wake Ndio maana alipigwa
Genia Sikaluzwe
Gud news
Ester jackson
Kibonge mwepesi alishinda vema sana
Khadija
Alikubali kichapo rakini kwa mbine sana#meridianbettz
Samiah
Gud news
Sabrina
Alikutana na ngumi jiwe
Omary lukumbi
Antony joshua umetuangusha mashabiki wako
Rehema
Gud news 👍
David Pere
Aliotewa Ndio alipigwa kiwepesi sanaa
Rose kapinga
Ukipewa ambakati lazima ukae haina jinsi iyooo!!!
warda
AJ, aliotewa tu#Meridianbettz
Leonard
Tunasubili pambano jingine