Nyota wa zamani wa klabu ya juventus Angelo Di Livio ameweka wazi kuwa klabu ya AS Roma inampango wa kumsajiri mshambuliaji wa klabu ya Manchester United klabla ya dirisha la usajiri kufungwa. 

Tetesi zimezidi kuzagaa kutokana na klabu ya Man Utd kushindwa kushika nafasi nne za juu kwenye ligi kuu ya nchini uingereza, hivyo kushindwa kushiriki michuano ya klabu bingwa barani ulaya, pia kumekuwa kuna tetesi kuwa Ronaldo anaweza kurudi kwenye klabu yake alioanzia kucheza soka la kulipwa Sporting Lisbon.

Angelo Di Livio

Lakini taarifa nchini Italia zinadai kuwa AS Roma nao wako kwenye mbio zakuhitaji huduma ya Ronaldo, ambaye amebakisha mwaka mmoja kwenye mkataba wake na Man Utd.

Angelo Di Livio, aliisadia klabu ya Juventus kushinda ubingwa la ligi kuu ya Italia mara tatu, anadai kuwa klabu ya Roma inafanya kila liwezekano ili kufanikisha usajiri huo.

Angelo Di Livio aliimbai Retesport kuwa ana uthibitisho kutoka vyanzo vyake kadhaa kwamba klabu ya Roma inajitahidi kadri iwezavyo kumshawishi mshambuliaji huyo wa klabu ya Manchester United kujiunga na Roma klaba dirisha kufungwa July 7.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa