Klabu ya Barcelona imefanya mazungimzo na klabu ya Leeds United kuhusu uwezekano wa kumsajiri kiungo wa klabu hiyo Raphinha.

Mpaka sas ni klabu ya Chelsea tu ambayo ina nafasi nzuri ya kuweza kusajiri kiungo huyo wa kimataifa wa Brazili, kwani tayari washakubaliana ada ya uhamisho wa mchezaji huyo, ambapo inakadiriwa kuweza fika £60milioni.

Barcelona, Barcelona Wateta na Leeds Kuhusu Raphinha, Meridianbet

Ukiondoa klabu ya Barcelona na Chelsea, pia klabu ya Arsenal nayo ilifanya mazungumzo na klabu ya Leeds kuhusu uhamisho wa kiungo huyo, japo hakuweza kufanikiwa kufikiana makubaliano na Leeds.

Barc na wakala wa Raohinha Deco, wamekuwa wakifanya maongezi kwa takribani mwezi sasa, lakini hakuna maendeleo yoyote mpaka sasa kati ya pande hizo mbili.

Kutokan na vyanzo vya ndani vya klabu ya Leeds, vimethibitisha offer waliyotoa klabu ya Barcelona ni ndogo ukilinganisha na offer waliyokubaliana na klabu ya Chelsea.

Klabu ya Leeds tayari wameshakubali offer ya Chelsea, sasa imebaki kwa Raphinha kuweza kuchagua wapi kwa kwenda, ikiwa atabaki Uingereza kwenye jiji la London au Barcelona kwenye viunga vya Camp Nuo.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa