Klabu ya Chelsea imetengea kiasi cha £55million ili kuweza kumng’oa kiungo wa klabu ya Leeds United, ijapokuwa kuna ushindani mkubwa lakini wanaamini kuwa kiasi hicho kinaweza kumng’oa Raphina.

Mazungumzo kati ya klabu hizo mbili bado yanaendelea, huku klabu ya Chelsea ikiwa na imani kuwa kiasi hicho walicho kitenga kinaweza kukubaliwa na klabu ya Leeds United.

Chelsea, Chelsea Wamtengea Raphinha Kiasi cha £55million, Meridianbet

Chelsea na Barcelona zote zinahitaji huduma ya kiungo huyo, huku Barcelona kutokana na matatizo ya kifedha yanaipa nguvu The Blues kuweza kuipata saini ya kiungo wa kimataifa wa Brazili.

Raphinha amekuwa na misimu miwili mizuri tokea ajiunga na klabu ya Leeds, huku akifunga magoli 17 kwenye michezo 65 ya ligi kuu ya Uingereza. Mkataba kati ya Leeds na Raphinha unaisha mwaka 2024.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa