Mchezaji wa kimataifa wa Ufaransa Ousmane Dembele mpaka sasa bado hajatoa tamko lolote kuhusu hatma yake licha ya kuwa na taarifa nyingi zilizokuwa zikisambaa miezi kadhaa nyuma.

Mwezi huu ndio mwezi wake wa mwisho na klabu ya Barcelona, na mpaka sasa bado hukuna mkataba mpya aliopewa, licha mikataba mipya aliyoikataa mara kadhaa ambapo yote ilishindikana kutokana kutokukubaliana baadhi ya vifungu kwenye mikataba ambayo walikuwa wakimpatia.

Ousmane Dembele

Mpaka sasa ni klabu mbili tu ambazo zimeonesha nia ya kuhitaji huduma yake, ambazo ni Chelsea na Barcelona vilabu vingine vimebaki kwenye tetesi tu.

Sasa ni muda sahihi wa Ousmane Dembele kufanya maamuzi ikiwa atabaki kwenye viunga vya Camp Nuo, ikiwa atakubali offer waliyopanga kumpa safari hii ni ndogo kuliko offer waliyotoa mwezi december mwaka jana kutokana na hali ya uchumi kuwa mbaya zaidi.

Kulingana na L’Équipe, Chelsea imetoa offer yake kwa Ousmane Dembele lakini mpaka sasa haijawekwa wazi, lakini haijawekwa wazi ikiwa inaizidi offer ya Barcelona.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa